Taifa limesimama kwa muda kupisha ndoa ya taifa baina ya Gilsant Mlaseko na Mfanyabiashara mrembo Lucy

Hata wewe mleta mada ulikuwa mwajiriwa wa Airtel? Basi ndio sababu huu ni mtandao mbovu, unaajiri watu kama wewe. Umeandika as if huyo bwana harusi aliwahi kujisaidia haja kubwa uwanja wa taifa kwahiyo watu wote tunamjua.

Umesema CEOs watakuwepo pale kwani ana hadhi gani na maajabu gani kwenye masoko. Tueleze
 
Duh, mtu mwenyewe hata mta wapili hajulikani kutujazia server tu hapa!! Eti simamisha Taifa, kabana pua kabisa!!!😂😂😂😂Haya mpiga mzumari ukashibe vyema ubwabwa!!
Laiti ungejua uzito wa Gilsant usinge andika hivi. Ungepata nafasi ya kuhudhuria hii harusi ungemuelewa mleta uzi anamaanisha nini
 
Back
Top Bottom