Taifa limechanganyikiwa?

Hahahah
 
Yani inashangaza hakuna wa kuhoji wala kuongea watu wote kimya, bila shaka huu ni uchawi ulioanzia family level up to country level.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu Mshana
Nikishasema na ninarudia kusema kwamba Mungu ameshaachana na chama cha mambuzi na sasa wanaongea kila mmoja kivyake.

Yaani hawana ndimi moja tena. Hqta wafanyeje hawatakuwa na kauli moja maana mnara wa babeli lengo lake ni kumfikia Mungu wakapigane nae
 
Watu wamechoka wameamua kukaa kimya hata wakipiga kelele hakuna hatua yoyote inayochukuliwa imebaki bora liende tu
 
We ndio umechanganyikiwa maana umeshuindwa kuelewa yanayoendelea
duniani
We ndio umechanganyikiwa maana umeshindwa kuelewa yanayoendelea duniani. Nchi zingine hata hicho chakula cha kununua hakuna. Amka usingizini.
 
Mwingine huyu hapa.. Maruhani yameshampanda kichwani
 
hata JF yenyewe itaki kuelezwa ukweli kuhusu hatma ya nchi.
niliandika uzi kuhusu nchi niliota itafikia itakuja kuwa chinu ya jeshi.kilichotokea ni kushambuliwa na kufutwa uzi
Ni suala la muda tuu
 
hata JF yenyewe itaki kuelezwa ukweli kuhusu hatma ya nchi.
niliandika uzi kuhusu nchi niliota itafikia itakuja kuwa chinu ya jeshi.kilichotokea ni kushambuliwa na kufutwa uzi
Usishangae!yeye Melo anafamilia inamtegemea!

UNAFIKIRI kung'olewa kucha mchezo!!?

Hicho ulichoota sio wewe PEKEE,yale ya mugabe kuwekwa kizuizini kisa mkewe hata malkia wa sheba anaponzwa na hao wazee wanao tokwa na maneno makubwa hao Ndio watasababisha Mabaka waseme unaponzwa na hawa,hebu achia uenyekiti wa mboga mboga!!

Nashukuru Mungu sisi watz ni wapole na wanyenyekevu Huwa hatuna vurugu ni tunu ambayo Mungu alitupa!!
 
hapana mkuu
kwani dhalimu si hayupo tena,sasa nchi ina nuru!!!
amani,tumaini na tabasami limerejea.

mlikuwa mnaimbishwa wimbo wa mazishi ktk sherehe na watu kama kigogo,napenau na makambale mkaamini mko msibani,sasa mmefiwa kweli,machungu ya msiba ni halisi hayahitaji kuimbishwa na kuelekezwa na muimbaji.

kama taifa tumeshapoteana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…