Mmh kwanza nahitaji kujua uyu komba ameifanyia nn nchi hii?maana hapa TBC wanarusha kipndi cha kuagwa uyu komba hii ni television ya taifa na cyo ya ccm how wanampa uyu komba air time iv...na hapo kuna pesa zetu za walipa Kodi zinatumika kuendesha hii shughuli..mbona wanakufa mawaziri ila hawafanyiwi ivo..au kuna yoyote kazi yoyote kafanya kwa taifa hili cyo kwa ccm
Ila kiukweli tutazimis tungo zake.
Fikiria leo tupate msiba mkubwa wa kitaifa(Mungu na apishilie mbali),nani atahanikiza kwa nyimbo zenye hisia kali za majonzi kama ilivyokuwa enzi za Capteiiiin!!.
Salam wakuu,
Baada ya Msiba mzito wa Capt J Komba, niliamua kusikiliza kazi mbalimbali alizozifanya. Nimegundua jamaa alikuwa na uwezo mkubwa sana, Yaani alikuwa na uwezo wa kutunga wimbo na kurekodi ndani ya nusu saa. Pia tofauti na nyimbo za akina Diamond, Nyimbo za capt Komba hazichuji kabisa. Halafu zina ushawishi sana.
Kwa kweli kuna kila sababu ya kumuenzi. Tuteue siku 1 ya mapumziko tuwe tunasikiliza track zake. Japo mimi sio CCM, ila kuna wimbo unaitwa Arambee ulikuwa unanishawishi sana, hasa kwenye yale maneno "Wapinzani tuwalete tuwachanechane tuwatupee" dah... huyu jamaa alikuwa hatare sana.
Komba day ni muhimu aisee.