Taifa liadhimishe Komba day

Taifa liadhimishe Komba day

Sidhani kama kuna ambalo amelifanya kwa taifa hili mpaka aadhimishwe kwani labda kama unamaanisha CCM.....
 
Kwa manoni yangu naomba kuwe na MIZAMBWA DAY:

Not Komba Day. Kwani yeye ni nani katika nchi hii??????

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Mtoa mada ukumbuke kwamba siku za kumbukumbu hutengwa kwa watu walio lifanyia taifa mambo yanayostahili kukumbukwa na kuenziwa. Sidhani kama Capt Komba zaidi ya kuimba kama wanalivyofanya wakina Makongoro na Mwinamila, alifanya jambo lingine linalostahili kupewa heshima uliyopendekeza. Katika uchambuzi kama apewe siku au asipewe kwa mfano utakuja kukuta mambo ya ovyo aliyoyafanya katika jamii yakafunika hata hizo nyimbo zake. Kwa kifupi umempa sifa asiyostahili na hakuna sababu hata ya kufikira pendekezo lako.
 
Salam wakuu,

Baada ya Msiba mzito wa Capt J Komba, niliamua kusikiliza kazi mbalimbali alizozifanya. Nimegundua jamaa alikuwa na uwezo mkubwa sana, Yaani alikuwa na uwezo wa kutunga wimbo na kurekodi ndani ya nusu saa. Pia tofauti na nyimbo za akina Diamond, Nyimbo za capt Komba hazichuji kabisa. Halafu zina ushawishi sana.

Kwa kweli kuna kila sababu ya kumuenzi. Tuteue siku 1 ya mapumziko tuwe tunasikiliza track zake. Japo mimi sio CCM, ila kuna wimbo unaitwa Arambee ulikuwa unanishawishi sana, hasa kwenye yale maneno "Wapinzani tuwalete tuwachanechane tuwatupee" dah... huyu jamaa alikuwa hatare sana.

Komba day ni muhimu aisee.

Kwahyo unahtaj komba dei kwa ajil ya kuimba tu,bas kungekua na TX DEI,Gurumo dei na kadhalika,ushaur wangu kwako komba dei iwe kwako mzee hata kila wiki
 
Kuna watu mna akili za rejareja...
 
"Japo mimi sio CCM, ila kuna wimbo unaitwa Arambee ulikuwa unanishawishi sana, hasa kwenye yale maneno "Wapinzani tuwalete tuwachanechane tuwatupee". Kama wewe siyo CCM kwanini unafurahia maneno hayo?
 
dah hili nalo mtu anaona katoa wazo...aisee safari ndeeefu bado tunayo...haya na mimi napendekeza iwekwe kanumba day,ngwair day,chief mkwawa day,ana ngaluma day,,,,na wengineo maarufu days...puuuuuhhh
 
Hakuna pengo aliloliacha komba wasanii wa bongo fleva na bongo movie watachukua nafasi yake walishaadaliwa tayari.
 
Eti KOMBA DAY kweli wengine vichwa vyetu vinahitaji msaidizi vyenyewe haviwezi kufanya kazi.
Tumeshindwa kuwa na sokoine day ndo tuwe na komba day,
ikitokea kweli ikawepo siku hiyo waliochini yangu kikazi watapiga mzigo kama kawaida.
 
Tungo za Komba zilikuwa za Kipekee,

Kuna wimbo unaitwa CCM nambari wani, huwa sichoki kuusikiliza.

Nyimbo nyingi za Komba zilijaa hisia na utunzi unaokonga mioyo!
 
Salam wakuu,

Baada ya Msiba mzito wa Capt J Komba, niliamua kusikiliza kazi mbalimbali alizozifanya. Nimegundua jamaa alikuwa na uwezo mkubwa sana, Yaani alikuwa na uwezo wa kutunga wimbo na kurekodi ndani ya nusu saa. Pia tofauti na nyimbo za akina Diamond, Nyimbo za capt Komba hazichuji kabisa. Halafu zina ushawishi sana.

Kwa kweli kuna kila sababu ya kumuenzi. Tuteue siku 1 ya mapumziko tuwe tunasikiliza track zake. Japo mimi sio CCM, ila kuna wimbo unaitwa Arambee ulikuwa unanishawishi sana, hasa kwenye yale maneno "Wapinzani tuwalete tuwachanechane tuwatupee" dah... huyu jamaa alikuwa hatare sana.

Komba day ni muhimu aisee.

Teh teh teh ...
 
Hizi ni akili za watu wavivu,, badala ya kuja na mada ya kukwamua tanzania kwenye umaskini unazungumzia kuendelea kulala lala tu. Mtu akishakufa amekufa tu.

Pia aliwakosea sana Watanzania na magamba wengine kwa kutukosesha kuwa na Katiba nzuri, sioni kama yeye na hao wengine wanahadhi ya heshima kwa walichokifanya.

Ukichanganya na uhuni wanaondelea kuwafanyia Watanzania wajue watu wana hasira nao sana.

Mkuu,sijui watu wana fikira gani!
 
Tungo za Komba zilikuwa za Kipekee,

Kuna wimbo unaitwa CCM nambari wani, huwa sichoki kuusikiliza.

Nyimbo nyingi za Komba zilijaa hisia na utunzi unaokonga mioyo!

sasa wewe unashibia ccm, tshirt na kanga zote unavaa za bure za ccm sasa na nyimbo unategemea utapenda ngwasuma? Pimbi kabisa.
 
Hizi ni akili za watu wavivu,, badala ya kuja na mada ya kukwamua tanzania kwenye umaskini unazungumzia kuendelea kulala lala tu. Mtu akishakufa amekufa tu.

Pia aliwakosea sana Watanzania na magamba wengine kwa kutukosesha kuwa na Katiba nzuri, sioni kama yeye na hao wengine wanahadhi ya heshima kwa walichokifanya.

Ukichanganya na uhuni wanaondelea kuwafanyia Watanzania wajue watu wana hasira nao sana.

Huyu Komba hukumu kali ya Mungu inamsubiri. Kule hakuna CCM kufunikakombe mwanaharamu apite. Apate haki yake. Alikuwa joka la sumu sana. Amini mkubwa yule
 
Alifanya mengi "mazuri". LAKINI SI KWA MASLAHI MAPANA YA TAIFA!!!!! aliimba kwa maslahi ya ufisadi. alitetea katiba yao mpya kwa maslahi ya mafisadi. Tukiweka Komba day tunaweka siku ya kutetea mafisadi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom