Taifa liadhimishe Komba day

Taifa liadhimishe Komba day

Mmh kwanza nahitaji kujua uyu komba ameifanyia nn nchi hii?maana hapa TBC wanarusha kipndi cha kuagwa uyu komba hii ni television ya taifa na cyo ya ccm how wanampa uyu komba air time iv...na hapo kuna pesa zetu za walipa Kodi zinatumika kuendesha hii shughuli..mbona wanakufa mawaziri ila hawafanyiwi ivo..au kuna yoyote kazi yoyote kafanya kwa taifa hili cyo kwa ccm
 
Hili taifa lina watu wa ajabu sana
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaah
 
Ila kiukweli tutazimis tungo zake.
Fikiria leo tupate msiba mkubwa wa kitaifa(Mungu na apishilie mbali),nani atahanikiza kwa nyimbo zenye hisia kali za majonzi kama ilivyokuwa enzi za Capteiiiin!!.

Diamond.
 
mkuuu huyu mtu bora amempumzika mmana ndio waliotusababishia katiba mbovu kuwepo yaani ni bora amepumzishwa huko alilko
Hizi ni akili za watu wavivu,, badala ya kuja na mada ya kukwamua tanzania kwenye umaskini unazungumzia kuendelea kulala lala tu. Mtu akishakufa amekufa tu.

Pia aliwakosea sana Watanzania na magamba wengine kwa kutukosesha kuwa na Katiba nzuri, sioni kama yeye na hao wengine wanahadhi ya heshima kwa walichokifanya.

Ukichanganya na uhuni wanaondelea kuwafanyia Watanzania wajue watu wana hasira nao sana.
 
Mmh kwanza nahitaji kujua uyu komba ameifanyia nn nchi hii?maana hapa TBC wanarusha kipndi cha kuagwa uyu komba hii ni television ya taifa na cyo ya ccm how wanampa uyu komba air time iv...na hapo kuna pesa zetu za walipa Kodi zinatumika kuendesha hii shughuli..mbona wanakufa mawaziri ila hawafanyiwi ivo..au kuna yoyote kazi yoyote kafanya kwa taifa hili cyo kwa ccm

Hapo ndio utambue captaiiin alikuwa ni zaidi ya umjuavyo!!.
 
Mmh kwanza nahitaji kujua uyu komba ameifanyia nn nchi hii?maana hapa TBC wanarusha kipndi cha kuagwa uyu komba hii ni television ya taifa na cyo ya ccm how wanampa uyu komba air time iv...na hapo kuna pesa zetu za walipa Kodi zinatumika kuendesha hii shughuli..mbona wanakufa mawaziri ila hawafanyiwi ivo..au kuna yoyote kazi yoyote kafanya kwa taifa hili cyo kwa ccm

Siwezi kushangaa kama tbccm wanaonyesha kwa kuwa hicho kituo cha luninga kilikoma kuwa cha umma pale Tido alipoondolewa..
 
Ndio ndo wanaonesha hapa na pia nimeckia wasifu Wa marehem sijasikia lolote kuhusu kafanya nn kwa hii nchi nasikia ccm tu.
 
Jamani kama kuna mtu ana kibao cha 'TUANUE MATANGA' cha marehemu Komba akitupie hapa tuburudike huku tukiendelea kutafakari juu ya msiba huu mzito uliotukumba Watanzania!!.
 
Salam wakuu,

Baada ya Msiba mzito wa Capt J Komba, niliamua kusikiliza kazi mbalimbali alizozifanya. Nimegundua jamaa alikuwa na uwezo mkubwa sana, Yaani alikuwa na uwezo wa kutunga wimbo na kurekodi ndani ya nusu saa. Pia tofauti na nyimbo za akina Diamond, Nyimbo za capt Komba hazichuji kabisa. Halafu zina ushawishi sana.

Kwa kweli kuna kila sababu ya kumuenzi. Tuteue siku 1 ya mapumziko tuwe tunasikiliza track zake. Japo mimi sio CCM, ila kuna wimbo unaitwa Arambee ulikuwa unanishawishi sana, hasa kwenye yale maneno "Wapinzani tuwalete tuwachanechane tuwatupee" dah... huyu jamaa alikuwa hatare sana.

Komba day ni muhimu aisee.

Labda iwe cku ya Mwenyezi Mungu kutukomboa na mkoloni mweusi
 
Sema CCM waanzishe na sio Taifa!
 
Eti KOMBA DAY kweli wengine vichwa vyetu vinahitaji msaidizi vyenyewe haviwezi kufanya kazi.
Tumeshindwa kuwa na sokoine day ndo tuwe na komba day,
ikitokea kweli ikawepo siku hiyo waliochini yangu kikazi watapiga mzigo kama kawaida.

Mhhh wabongo bwana hiki ndo kinatufanya tubaki hapa tulipo.
Komba anamchango gani kitaifa.
Mbona hamna siku maalum ya step father wake Moses Nnauye aliyekuwa msanii kiongozi wa CCM kabla yaja mrithisha mwanae wa hatua John Komba.
Ebu watanzania tuvue hilo blanket tulilofinikwa la uoga, ujinga, usingizi hadi rasili mali zetu zinachukuliwa kienyeji na hakuna wa kuhoji.
 
Si alikuwa msanii tu ambaye wala hakumzidi Bi Kidude
 
Ivi wewe ulipozaliwa ulitanguliza nn mpaka ukaomba kuwe na Komba day,sizani kama uko sawa kiakili,,kuna siku utatuambia tuwe na siku ya mama yako,kafie mbele ----- wee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom