hivi nyie mnaolaumuu hao wazazi hawachangii ujenzi wa shule mnafikiri wote wanaishi under payroll za mafisadi?
most of the parents of those students live in almost same situation na hiyo shule.nina uhakika nyumba zao ni za udongo,hamna bati,kama lipo kwa mwenyekiti tu!na mlo ni mmoja au miwili kwa siku.
hao wazazi ni wakulima,wanalima wee,mifisadi ya kihindi ikifika inanunua mazao yao kwa bei ya chini kuliko bei ya kokoto.(na serikali inawapa bili 21!duh).
wazazi hao hufanya kazi 12 hours a day shambani ili mkono uende kinywani.serikali haitaki kuboresha mazingira yao.sasa wafanyeje?wajijengee barabara za lami?!
15 years ago wazazi hao wangeweza kuchangia ujenzi wa shule,sio sasa hivi.maisha ni magumu mnoo.sie tulioko nje hatuwezi hata ku-imagine.
kwanza kitendo cha kumpeleka mtoto kwa shule kinaonesha nia dhabiti ya wazazi hao,mostly wangekuwa shamabani wakiwasaidia wazazi kulima,au kuchuunga mbuzi na ng'ombe.
shule hospitali na barabara za nchi ya dunia ya kwanza hazijajengwa na wananchi kwa mkono,zimeengwa kupitia kodi zao,kuna mkazi wa NY anayefyatua matofali ya shule?NONE!
tatizo wazazi hao kodi wanalipa hata kwa viboko,ila zikifika kwa li-afisa la TRA linasahau ni jinsi gani huyo mzazi amesumbukia hiyo kodi na anategemea RETURNS kama shule,barabara etc.
zikifika BUNGENI ndio kabisaa!!hata mbunge wa jibo husika hawatetei wakulima wake,anawaza kuwa waziri tuu.anawaza pesa,anawaza power.
mnaosema wakulima wasiwachague hao wabunge mnakosea pia,wengi wa hao wananchi hawana TV,RADIO na hawajui kinachoendelea bungeni,kwao BILLIONI 1 ni ndogo kuliko milioni 30!mnaelewa?!
wabunge,viongozi wa serikali wanalijua hilo,nawalitumia effectively!hawawapi elimu hao wakulima ili waendelee kuwaibia.same way wakoloni walivyokuwa wanatufanyia.sasa sisi wachache tuliopewa bahati ya kuelimika ni wajibu wetu kuwasaidia wenzetu wasio na uwezo(wanaonyimwa uwezo),wa kujitetea au kujikomboa.na sio KUKAA HAPA KUWABEZA.
HUU NI ujinga wetu zaidi kuliko wa hao wananchi TUNAOWABEZA as they don't know any better.
it's time for educated Tanzanians to help POOR,UNDERPRIVILEGED tanzanians.sio kuwaza maisha bora kwa ajili yetu tuuuu 24/7.we all know a better of society is better than having one rich guy and 1 million poor guys.