Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,501
- 1,955
It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni. Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.
jitahidini kuwa wise. Rais is a parent na hata mtoto angekuwa kibaka ni wake. Beside, unuhakika gani kama Lulu na Marehemu ni wapenzi? Wakiwa wachumba je? Na tena hawafanyi ngono hadi siku ya ndoa? Mimi watu kama wewe mnayekashfu mfu nadhani hamjalelewa ki heshima. Nisamehe kama nimekukosea but mnakera. Hizo tuhuma mnazirusha kwa Marehemu atarudi lini azijibu? Kama ungekuwa karibu ningekung'ata kwa hasira mkuu wangu. Stop doing so and who knows kwako itakuwajme? Kanumba alikuwa na nidhamu ndiyo maana hakutaka watu wayaone haya na kama si kifo hakuna mtu angejua. Kwa maana hiyo ndiyo maana anaitwa kioo cha jamii. Fikiria before posting kitu ambayo nina uhakika unajua itaumiza wengine. Grow up.