Taifa la washabikia uzinzi - Tanzania

Kawaida mlevi huzikwa na walevi wenzake na pombe nyingi msibani, mtu wa dini atazikwa na mapambio na sala kemkem, mzinzi atazikwa na wazinzi wenzake.
 
Atajua mwenyewe na Mungu wake; sisi kazi yetu ni kumzika period.

Tumzike na tumwombee, lakini msifunike ushenzi aliokuwa anaufanya na underage, uzinzi, mfano mbaya kwa jamii, halafu nchi nzima inazizima eti kafa wakati alikuwa anafanya maasi kwa watoto wetu, ndio alikuwa namjenga kipaji mapajani, stupid!!
 
It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni. Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.

Chuakachara you are my hero. Hii kitu imekuwa exaggerated na imejaa ujinga mtupu, huyu angetupwa kama Gaddaffi alivyotupwa jangwani. Yaani tungekuwa na katiba huru ningekutafuta tukafungue kesi Mahakama Kuu ya kudai fidia ya hela ya serikali inayotumika ovyo. Yaani JK namuelewa kuwa ni msanii na wale ni wenzie ila nashangaa kumuona Pinda anaunga mkono ujinga kaa ule eti naye anakwenda. Stupid
 
Naona kila mtu anamshambulia mtoa mada negatively, kila mtu ana ufahamu wake jinsi ya kusoma maandishi na kujua maudhui yake. Mtoa mada hana kinyongo na kanumba, na nilivyoelewa sio kwamba anamtuhumu kanumba kwa uzinzi, yeye anashangazwa na namna hili suala la kanumba linavyopotoshwa maana hakuna hata kiongozi yeyote anaewaasa vijana kuachana na zinaa! Kila mtu anajua kanumba kauawa na kabinti kadogo kwa ajili ya wivu lakini watz hatuko wazi kukemea uzinzi. Kwa umri aliokua nao marehemu ni aibu sana kusikia alikuwa anakimbiza kitoto ambacho anakizidi miaka kumi na alikuwa anajua kabisa skendo zake. Watu wanakimbilia kusema mtoa mada anahukumu marehemu kwa lipi? Yeye ameeleza hisia zake na watu wengi pia wanajiuliza hilo swali. Lakini tuna mtindo wa kuficha makosa ya marehemu na hilo linatugarimu sana watz.
 
Usipohudhuria jumuia mwanao hatabatizwa, hufungishwi ndoa, no kipaimara, ukijifia hupati sherehe ya maziko ya kidini, huyu sio tu amezini kfia ugomvini. Labda hatupo serious, au ndio ngamia amepenya tundu la sindano?????? pia inaonekana tuu walegevu kuzisimamia sheria, ndio maana mifano ya 'aliye msafi awe wa kwanza kumpiga mawe' ONYESHENI KWANZA NIA YA KUMPIGA MAWE, NDIPO MSAMAHA UJE KWA KUZICHUNGUZA NAFSI. Ninyi mnazichunguza kwanza nafsi kabla kuuchukia uovu.
 
marehemu hana dhambi angekuwa hana cheo cha marehemu ningekusikiliza.Ulitaka wamtelekeze? aisee roho yako katili sana
 
Mimi nilikwishafikiri hivyo ila sijui wengine nao wanachukulia vipi kwanza m2 mzima anatembea na katoto kadogo kale. Tunaelekea wapi? Ningelifahamu mapema kabla hajafa ningemwomba aachane na watoto kwani wanawake wa umri wake ni wengi saana!!!!
 
Hoja yako ina mashiko. Isitoshe wanaosema tumsamehe marehemu hawajakosea. Ila hoja inaongelea taifa la wazinzi. Hii ni kweli taifa letu ni la hovyo na linatawaliwa na watu wa hovyo. Hata hivyo tusishangae msukumo na hadhi aliyopewa Kanumba. Ni kwa vile ni msanii kama wao na mazinzi mwenzao so to speak. Nilishangaa kuona msiba wake unapewa uzito kuliko hata wa marehemu makamu wa rais Omari Juma. This is saaaad. Tunaelekea wapi iwapo watu wanakwepa majukumu muhumi ni kujichimbia kwenye mambo ya hovyo? Hakika tumekwisha na tuililie Tanzania inayogeuzwa kuwa Tanzia.
 
It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni. Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.

Rais wetu, PM, etc uliowataja ni wa kanisa au msikiti gani?!
Nasikia Marehemu ni Mkristo; Je Padri/Mchungaji alienda kumsindkiza marehemu?!
Rais na serikali yake wana-deal na mambo ya Kaisar....
 
Mh nyie CHADEMA mna rohoo za korosho hata kwa maiti.Wakati wa uchaguzi tulisema dr slaa mnzinzi hana mke.mlitetea leo mnajifanya watu wa mungu na kukemea unzinzi.
Wewe njoo na hoja si kila baada ya kushindwa hoja mnakimbilia CDM, kama unaweza kutuambia Kanumba si mzinzi tuambie huna nyamaza. Afterall kusingizia kila kitu CDM imeshakuwa old fasheni.
 
Nitajieni kazi ya kanumba aliyoifanya inayomstahili recognition ya kiroho. ninavyo jua mimi amechangia kwa upotoshaji sana kwenye mafilamu yake, hasa wamama wamepotoka ile mbaya.
 
Rais wetu, PM, etc uliowataja ni wa kanisa au msikiti gani?!
Nasikia Marehemu ni Mkristo; Je Padri/Mchungaji alienda kumsindkiza marehemu?!
Rais na serikali yake wana-deal na mambo ya Kaisar....
I dont see any point here.
 
Tumzike na tumwombee, lakini msifunike ushenzi aliokuwa anaufanya na underage, uzinzi, mfano mbaya kwa jamii, halafu nchi nzima inazizima eti kafa wakati alikuwa anafanya maasi kwa watoto wetu, ndio alikuwa namjenga kipaji mapajani, stupid!!

like like like! Watanzania tumisha kuwa watu wa ajabu sana, hatutaki kusema ukweli pale tunapotakiwa kuusema! Sawa amekufa na kila mtu atakufa ila ukweli ni kwamba hata yeye alikuwa na makosa, hata mie nikifa hivo bado nitakuwa na makosa. Kila mtu ana mapungufu ila tuseme ukweli ili iwe fundisho kwa wengine. Kwa nini alikuwa hajaoa? Sasa amekufa bila kuachana hata mbegu yake duniani! Ok, rais katoa pesa yote hio ya nini? Kuna watanzania wenzetu wanateseka sana na hawana uhakika na maisha, kwa wale mnaotembelea mahospitali mtajua kinachoendelea, au mnaotembelea vijijini mnajua namaanisha nini! Kanumba alikuwa ni tajiri, na amisha kufa! Hizo pesa zote zinazomwagwa hapo za nini? Watamzika nazo? Ok, hana hata mtoto wa mke so watampa nani? Ni kujionyesha tu kwa viongozi wetu ili kujijenga kisiasa. Jamani penye ukweli tuseme, tusilete hoja za kuzika maovu eti kisa na mimi ni muovu!
 
It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni. Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.

Yale yale jamani hebu tuangalie ubinadamu dini isijeikatufanya kutuwekea sumu kwenye kufikiri. kumbuka hata yesu watu waliposema mwanamke mmoja anadhambi alijibu asiyenadhambi awe wa kwanza kumtupia jiwe jamaa wakatawanyika. anayehukumu ni Mungu sio sisi
 
Usikute wewe mwenyewe umezaliwa nje ya ndoa hapa unasumbua watu hapa.Usihukumu kama vile we ndo mungu
 
Mkuu naomba nikuunge mkono.. Ninachoona kwa post hii na comments nyingi humu ni jealousy related..

Anaonewa wivu kwa kufa kwenye mazingira ya uzinzi, au wivu kwa kufa akipigania kimada? Nimeamini hata waovu husikilizana.
 
nyeti zinasema kanumba alikuwa kuwadi mkubwa wa mkulu...akimtaka bongo movie yeyote anampigia kanumba direct ...yet woteb ni freemason

Mkuu kumbe uwa unamwaga pumba kiasi hiki nilikuwa nakuona mtu makini humu JF kumbe kauzu.
 
Back
Top Bottom