Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 40,533
- 69,450
Uongo uongo tu mnayojuaHapo juu wanakabana koo,
Kuna mkuu hatamaliza miaka miwili hapo top! Kisa anatamani nafasi ya Mkuu wake zaidi Mambo yanayopikwa yako beyond belief!
Kampango ka kufanya bibi aendelee 2030 eti anatuma Bashite ku test huu ni ujinga,
we are not even sure kama atatoboa kufika 2030!
Machungu sana aisee
Ngoja tuone ! Ma vitu ka kijinga sana
Britanicca
Milele aminaUsipotafakari juu ya kifo unaweza kuwatendea wenzio vyovyote utakavyo. Ukawateka, ukawaua, ukawazika kama mizoga, bila kujali maumivu yao wala hisia zao
Kama vile utaishi milele.
Lakini ukitafakari juu ya kifo, na ukajua kwamba siku moja utalala mauti, utawapenda wenzio, utawalinda, utawaheshimu, na ukiwa kiongozi utaongoza kwa HAKI. Tuache kiburi cha uzima, kifo kipo. Na hilo ndilo neno la leo.
Tumsifu Yesu Kristo 🙏🏽
Kwa Afrika ikitoka madarakani umejitakia mwenyeweKwa kufuatilia mataifa mengine,nimegundua kuwa Samia anaweza kudumu sana kwenye urais kwa sababu wanaomzunguka wananufaika naye.Kwa hiyo watamlinda kwa kufa na kupona ili warndelee kufaidi vya wizi.
Angalia mataifa kama Cameroon,Uganga,Congo Brazaville nk.
Na Kwa kasi wanayoenda nayo, tutafika hiyo 2030! nchi inathamani ya afu saba tuHapo juu wanakabana koo,
Kuna mkuu hatamaliza miaka miwili hapo top! Kisa anatamani nafasi ya Mkuu wake zaidi Mambo yanayopikwa yako beyond belief!
Kampango ka kufanya bibi aendelee 2030 eti anatuma Bashite ku test huu ni ujinga,
we are not even sure kama atatoboa kufika 2030!
Machungu sana aisee
Ngoja tuone ! Ma vitu ka kijinga sana
Britanicca
😀Togwa.
Siasa na kuuwana ni 🩲🍑 huwezi kuwa mwanasiasa Top leader halafu usiue never , Ili uwe Raisi / waziri lazima uwe ambitious mtu ambaye ni ambitious Huwa yupo Tayari kufanya lolote lile ili kulinda maslahi yake/ maslahi Yao ,Usipotafakari juu ya kifo unaweza kuwatendea wenzio vyovyote utakavyo. Ukawateka, ukawaua, ukawazika kama mizoga, bila kujali maumivu yao wala hisia zao
Kama vile utaishi milele.
Lakini ukitafakari juu ya kifo, na ukajua kwamba siku moja utalala mauti, utawapenda wenzio, utawalinda, utawaheshimu, na ukiwa kiongozi utaongoza kwa HAKI. Tuache kiburi cha uzima, kifo kipo. Na hilo ndilo neno la leo.
Tumsifu Yesu Kristo 🙏🏽
Huu nao uchawi.
Akina Lucuvi wamekufa kifo cha kawaida siyo kuuwawa.
Namkataa yule mwanamama waliemkabidhi hatamu kwa damu lakini hii tunamsingizia uongo
Nonsense ever! hamna mtu atakayewasikiliza sasa hivi, mipumbavu ya kutupwa.Shughuli zinaenda nyinyi bado mmebaki mnang'ang'ania Samia Samia.
Na hiyo ndio sababu hata viongozi wa tume wanakaa chini wanajitungia matokeo, mawaziri hawana kazi zaidi ya kusifia, makatibu wa wizara hawawezi kushauri nini kifanyike kwasababu hawana uhakika kama ushauri wao utapokelewaKwa kufuatilia mataifa mengine,nimegundua kuwa Samia anaweza kudumu sana kwenye urais kwa sababu wanaomzunguka wananufaika naye.Kwa hiyo watamlinda kwa kufa na kupona ili warndelee kufaidi vya wizi.
Angalia mataifa kama Cameroon,Uganga,Congo Brazaville nk.
Nonsense ever! hamna mtu atakayewasikiliza sasa hivi, mipumbavu ya kutupwa.Shughuli zinaenda nyinyi bado mmebaki mnang'ang'ania Samia Samia.
Kuna mahali nimemtaja Samia kwenye maelezo yangu?Nonsense ever! hamna mtu atakayewasikiliza sasa hivi, mipumbavu ya kutupwa.Shughuli zinaenda nyinyi bado mmebaki mnang'ang'ania Samia Samia.
KabisaMambo ni magumu usione watu wako kimya CCM ndani sio kuzuri tangia Mama amepitishwa na wahuni
Togwa liliingia nzi halikunyweka.Togwa.