Taifa la Ovyo namna hii!

What does official report from the family of the deceased say?
How do you know they have been assassinated?
Did you do the autopsy?

sijui chochote ndiyo maana kwangu yote yanawezekana ...
 
View attachment 3563826
Huu ni ushahidi kuwa hawa washenzi wanakulana wenyewe ndani ya CCM na serikali yao haramu

Na bado. Watamalizana wao kwa wao na watasemana tu nani alifanya nina kwenye mauaji ya halaiki ya MO29
Chezea kuua watu kama kuku...damu za watu elfu kumi zinalia kwenye ardhi, watu walikua wanakufa wanataja jina lake ama ya majitu ya ccm,,,kwanini wasimalizane..acha wamalizane kabisa ...Hadi damu zote za oktoba 29 na 30 zilipwe KUMAMAKE...wanacheza na damu subiri muone .kumamake
 
Huu nao uchawi.
Akina Lucuvi wamekufa kifo cha kawaida siyo kuuwawa.
Namkataa yule mwanamama waliemkabidhi hatamu kwa damu lakini hii tunamsingizia uongo tupu.
We ulikuwa daktari wake?
 
Hatuna taasisi imara haya ndo matokeo yake
 
Mkuu hili la debe la 2030 linalopigwa kwa nguvu kabisa mimi naona ni kama ku-brain wash wananchi wamkubali huyu muuaji na yote aliyofanya wahamishie mawazo yao 2030, yaani wakubali kuwa 2025 mpaka 2030 tayari ina rais halali
Hii ni kampeni isiyo na kificho, na waTanzania kwa bahati mbaya sana inawazoa akili bila hata ya kusita.

Wanalazimishwa waone kila kitu kilikwenda sawasawa, na sasa hali iliyopo ni ya kawaida kabisa!

Sisi tumekuwa watu, au mifugo tu?
 
:unapoandika mambo kwa mafumbo inaonesha moja kati ya mawili; uwongo au woga. Hakuna anayekulazimisha kuandika.
 
Kwa kufuatilia mataifa mengine,nimegundua kuwa Samia anaweza kudumu sana kwenye urais kwa sababu wanaomzunguka wananufaika naye.Kwa hiyo watamlinda kwa kufa na kupona ili warndelee kufaidi vya wizi.
Angalia mataifa kama Cameroon,Uganga,Congo Brazaville nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…