Taifa la mizahaa!

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,902
95,407
76543.jpg
 
Kibao kingeandikwa Majina ya kutoka Magharibi tungepongeza. Upoyoyo uliokithiri ni kutokithamini cha nyumban kwako!. Ukute mtu anayeponda hajawah kufikia ngazi hata ya uongozi wa familia yake anakuja kumbeza mtu ambaye kwa namna moja kuna watu wamenufaika maishani mwao kupitia Kitila.
 
Tatizo la kujidharau ni shiida sana Afrika; nadhani bara linatafunwa na laana ya mababu walioingia mkataba na Wazungu kuwasaka, kuwakamata kuwatumikisha na kuwauza watumwa ndugu zao.
 
Kibao kingeandikwa Majina ya kutoka Magharibi tungepongeza. Upoyoyo uliokithiri ni kutokithamini cha nyumban kwako!. Ukute mtu anayeponda hajawah kufikia ngazi hata ya uongozi wa familia yake anakuja kumbeza mtu ambaye kwa namna moja kuna watu wamenufaika maishani mwao kupitia Kitila.
Alaaa kumbe!!
Kwa hiyo niikinufaisha watu flani, lazima nijiite barabara kwa jina langu.
Baaasi imeisha hiyo
 
What's wrong with that kama siyo wivu!??? Hatuna taifa la mzaha, ila tu baadhi ya raia wabovu kama wewe wenye mizaha ndio wanatukwamisha. Pole sana
Wee man'gaa una mihemko sana na fisimu. Vipi ingeitwa Tundu Lissu bado mchango wako ungebaki kuwa huu huu.
 
Back
Top Bottom