bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,667
Eng Hersi ndio kwanza yupo zake South Afrika na leo ameshuhudia Soweto Derby Kaizer Chiefs Vs Orlando Pirates na Orlando Pirates wakiibuka na ushindi wa goli 1.
Hakika Eng Angefahamu msala mazonge aliyosababisha pale Simba ni makubwa mnoo ni kuwafanya jamaa kuona timu yao sio chochote kitu angeenda hata kuwapa pole
Simba bana walikua wanajiweka level ambazo sio zao Jumapili Yanga wamewaambia nyie bado mpo level za Zalan, Kmc, Jkt, Asas...nk Cv imepakwa tope ghafla bin vuup ila sio mbaya kesho tunawakaribisha pale Kaunda wapige kitu cha supu safi waje na Chapati zao tu.
Jamaa zangu wengi ni Simba lia lila ubaya unakuja kila nikijaribu kupiga mastory ya gemu ya Jumapili wengi wao wanasema hawataki mambo ya mpira tena kwani Simba imewavua nguo. Binafsi nawapa maneno ya kuwatia nguvu kwani nimegundua ni mashabiki wanaohitaji upendo kuliko kitu chochote kwa sasa.
Poleni sana wanasimba kufungwa sio mbaya ila ndio ziwe tano sasa
Roma ikisema imesema