Taifa la mizahaa!

Taifa la mizahaa!

What's wrong with that kama siyo wivu!??? Hatuna taifa la mzaha, ila tu baadhi ya raia wabovu kama wewe wenye mizaha ndio wanatukwamisha. Pole sana
Unajua tatizo ni nini? Yeye alitamani aone kibao kimeandikwa LIVINGSTONE ROAD. Inaweza ikawa hapendi kuona jina la kibantu KITILA, na la mtu ambaye anamfahamu, likipewa barabara. Mtu yuko kwao wa kwao wameamua kumtuza, tatizo liko wapi?

After all, huyu yeye aliyeweka bandiko hili anamfahamu Mh. Mkumbo wakati Mkumbo hamfahamu huyu aliyeweka bandiko. Sasa kati ya watu hawa wawili, nani maarufu?
 
Back
Top Bottom