Vodacom-MPESA inatukela wateja

Troojan

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
967
666
Vodacom mmekua na kaupuuzi sana kwenye application yenu ya mpesa...yaaan mtu unaweza kutuma pesa kabisa kwa Mpesa Application ikakwambia 'Apology muhamala umeshinfikana . Sasa ukisema ngoja nitume kwa tigopesa au mitandao mingine muamala unaenda..baadae inakuja sms kutoka MPESA kuconfirm kua muamala umekubalika na umepokelewa!!..Sasa hii kitu inakela sana na inaleta usumbufu sana..sjui shida ni nini!unajikuta unafanya malipo mara mbili bila kupenda..sasa shida inakuja unaemtumia kama anakudai hairudi
 
Aisee VODACOM Mpesa ni janga kubwa sana!!!!

Mnachukueje hela niliyotuma halafu mnasema iko hewani?
Yani niliyemtumia hajapokea na kwangu imetoka. Halafu siwezi rudishiwa mpaka nisubiri masaa 24 na mtu yuko kwenye emergency ya matibabu.

Hivi mnajiona mko sawa kweli!!!?

Hii huduma ya Mpesa tunaomba vyombo husika viifanyie uchunguzi.
 
Back
Top Bottom