William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Dr.Slaa ndo rais ajaye wala hana mpinzani.
sababu.
anawajali wananchi wake.
- Mkuu heshima yako sana, vipi ukifafanua kidogo nini maana ya Dr. Slaa kuwajali wananchi wake?
Willie @ NYC, USA.
- Mkuu heshima yako sana, vipi ukifafanua kidogo nini maana ya Dr. Slaa kuwajali wananchi wake?
Willie @ NYC, USA.
Lowassa. He is better than the rest of Magambas.
mkuu mwenye macho haambiwi tazama, Dr.Slaa ametufanya wengi tuitambue nchi yetu, kuwajali ni pamoja na kuwaambia kwa kutumia sauti yake kuhusu maadui wao, kuwajali ni pamoja na kuwapa njia sahihi yakuwatoa kwenye dimbwi la umaskini, kuwajali ni pamoja na kutoogopa kuwasemea. ni nani amethubutu kufanya hivyo baada ya Nyerere?
- Mkuu heshima yako sana, vipi ukifafanua kidogo nini maana ya Dr. Slaa kuwajali wananchi wake?
Willie @ NYC, USA.
Wewe mzee wa NYC, hoja umeileta kinafiki kama kawaida yako. Kibaya zaidi ni kwamba ukisikia jina Dr. Slaa unatishika sana. Nonetheless, you are portraying typical characters of descendants of chama cha magamba.
Serikali ya mseto? Au Makamba atkuwa amehamia CDM? Au Zitto atakuwa CCM? Ndani ya CCM hii ya sasa hakuna mgombea Urais mwenye sifa. Labda waje kama wagombea binafsi. Kwangu mimi Dr. Slaa, Fredrick Sumaye, Edward Lowassa na Salim Ahmed Salim ndio wanaofaa kugombea Urais lakini kwa sasa nchi inahitaji mtu kama Dr. SlaaZitto kama urais itashindikana basi apewe ata wizara ya fedha hili fedha zetu ziwe na mipango thabiti na yenye maendeleo kwetu sisi wanachi, Makamba Jr anafit sana kwenye mambo ya ndani.
- Mwalimu the greatest alitusaidia kutufanya huru, lakini the rest ni debatable, naomba unishawishi zaidi kwamba Dr. Slaa anafaa kuwa Rais wa kulisaidia hili taifa zaidi ya wengine, kwa mfano unasema ndiye aliyetufunua kuhusu mafisadi ambao mpaka leo hakuna aliyefikishwa kwenye sheria, Dr. Slaa anao ushahidi wa kutosha kwa nini asiwapeleke kwenye sheria kwa jina la wananchi? I mean Mch. Mtikila siamini kwamba ana uwezo wa kuwa Rais, lakini kwenye hili la kwenda kwenye sheria na ushahidi anaonekana kuwa na ubavu zaidi,
- Sasa je tutaendelezwa na Rais asiyesimama kuona sheria inatendeka?
Willie @ NYC, USA.
- sema nani anafaa au hafai kua rais au waziri, kama huwezi kaa pembeni achia wanaoweza mimi sigombei urais wala anything, uwe na siku njema sana mkuu!
willie @ nyc, usa.
- Salaam wananchi wenzangu,
kuelekea uchaguzi wa 2015 ni muhimu sana wananchi tukaanza sasa kujadili wanaotufaa kwenye nafasi za uongozi wa juu yaani Rais na Mawaziri, na sababu; wasiotufaa pia tuwaambie kwa lugha ya Black and White yaani the truth bila kuchanganya maneno! na tujali Taifa kwanza vyama baadaye!
- Tanzania sio taifa la mtu mmoja au kikundi flani tu na tuanze kuambiana ukweli kuanzia sasa mapema sana ili maviongozi magoi goi waanze kujifikiria mapema kama wapo kwenye the right field au wajiondoe wenyewe, maana ninakatishwa tamaa sana na baadhi ya majina ya wanaotajwa kujipanga kuchukua fomu hasa za Urais 2015!
- Nani wanafaa na nani hawafai na sababu?
- Mungu Aibariki Tanzania!
William @ NYC, USA.