Tai hapigani na nyoka ardhini

Maombi .. Sala na maombi vina nguvu sana
Afu hilo swali nilitaka pia kuuliza kwa mfano

wewe Si muabudu wa Dini yoyote ila unahisi kabisa kuna Vijibwana vinachezea maisha yangu kwa kuyavuruga kwa makusidi makazini na sehemu zingine yaani unaona jambo linaenda vizuri ila likifika some point ambayo hata ukimwadithia mtu lilipokwamba ye mwenyew anashangaa limekwama. Ghafla ila tu ulikuwa na ushindani nao zaman hao mabwana na kuna watu zaido ya watani wanakufata kukuonya kuhusu mtu mmoja uwe naye makini kuhusu maisha yako na wala hujawauliza wengine huwajui , je umfate huko huko kunako silaha zake (ushirikina) umtandike au ufanye nni?

CC: Mshana Jr
 
Well said ,God bless you...
 
Wewe itazame toka mwanzo hiyo wacha kuitazama juujuu. Kauliwa chini huyo akabebwa.

Huwa sikisii.
 
Kila kitu kina pande mbili..
Ulimwengu wa nuru na ulimwengu wa giza.. Hakuna kitu kinakosa plan B labda muda tuu
Kwa wasio waumini na waamini ama kwa walio na imani nusu na robo hawa hukimbilia plan B


Ukishindwa kusamehe lipa kisasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali Proffesor Mshana Jr rudia tena kusoma sasa kwa mfano bado anakuumiza na ulishamsahe ufanyeje kujichomoa kwenye vita na yeye au umfate umchane live


Huo uzi wa kisasi ni moja ya uzi wangu pendwa mwka 2016
 
Tafadhali Proffesor Mshana Jr rudia tena kusoma sasa kwa mfano bado anakuumiza na ulishamsahe ufanyeje kujichomoa kwenye vita na yeye au umfate umchane live


Huo uzi wa kisasi ni moja ya uzi wangu pendwa mwka 2016
Nimekuwekea hii link ifungue usome mada yote inayo majibu ya hakika sana


Ukishindwa kusamehe lipa kisasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yale mambo ya uchawi uchawi achana nayo father huku ndo kwenyewe. Nimefarijika sana sio utani.
Fanya mpango mkambatize kwenye maji mengi, maana upande wa pili kutoka huwa na changamoto sana 😄!.
 
Yale mambo ya uchawi uchawi achana nayo father huku ndo kwenyewe. Nimefarijika sana sio utani.
"Nitakaposimama mbele ya Mungu mwishoni mwa maisha yangu, natumaini kwamba sitakuwa na kipawa hata kimoja kilichosalia na nitaweza kusema, 'Nilitumia kila kitu alichonipa Mwenyezi Mungu wangu




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila siamini kwenye Uislam wala Ukristu bali naamini Mungu tu na kwa imani zetu za asili za Kiafrika
Ni imani pia.. Tena pengine iliyo hakika zaidi
Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili zako mwenyewe; katika njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyosha mapito yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...
 

Attachments

  • FB_IMG_1698069079909.jpg
    51 KB · Views: 5
Wewe itazame toka mwanzo hiyo wacha kuitazama juujuu. Kauliwa chini huyo akabebwa.

Huwa sikisii.
usiemjua Tai ni wewe tu, bibi cha ubishi
 

Attachments

  • Why God Chose Animals to represent Him• PROPHET LOVY ELIAS_001.mp4
    1.7 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…