Duuh kweli.....Atamchukua juu angani na kubadilisha uwanja wa vita, na kisha atamwachilia nyoka angani.
Nyoka hana stamina, hana nguvu na hana usawa hewani. Hivyo kushindwa mapigano ni hakika kwa asilimia 100
lakini haina maana kwamba nyoka ni mdhaifu la hasha.. Udhaifu wake unatokana na uwanja wa vita usio wake tofauti na ardhini ambapo ana nguvu ya kujeruhi kuumiza na hata kusababisha mauti.
Chukua vita yako katika ulimwengu wa roho kwa kuomba na ukiwa katika ulimwengu wa roho Mungu anachukua vita vyako.
Usipigane na adui katika eneo lake la faraja,
badilisha uwanja wa vita kama Tai
na Mungu akusimamie kwa maombi yako ya bidii na ya dhati ya moyo wako
Utakuwa na uhakika wa ushindi safi!View attachment 2790189
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaYale mambo ya uchawi uchawi achana nayo father huku ndo kwenyewe.
Nimefarijika sana sio utani.
Yupo Makini SanaHili dege inawezekana lina kinga dhidi ya sumu ya nyoka
Makini kukwepa midonoo ya Bwana nyoka?Yupo Makini Sana
HakikaAtamchukua juu angani na kubadilisha uwanja wa vita, na kisha atamwachilia nyoka angani.
Nyoka hana stamina, hana nguvu na hana usawa hewani. Hivyo kushindwa mapigano ni hakika kwa asilimia 100
lakini haina maana kwamba nyoka ni mdhaifu la hasha.. Udhaifu wake unatokana na uwanja wa vita usio wake tofauti na ardhini ambapo ana nguvu ya kujeruhi kuumiza na hata kusababisha mauti.
Chukua vita yako katika ulimwengu wa roho kwa kuomba na ukiwa katika ulimwengu wa roho Mungu anachukua vita vyako.
Usipigane na adui katika eneo lake la faraja,
badilisha uwanja wa vita kama Tai
na Mungu akusimamie kwa maombi yako ya bidii na ya dhati ya moyo wako
Utakuwa na uhakika wa ushindi safi!View attachment 2790189
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara nyingi sana huwa nakwambia usiwe muongo kwenye mitandao ya kijamii. Jionee:Atamchukua juu angani na kubadilisha uwanja wa vita, na kisha atamwachilia nyoka angani.
Nyoka hana stamina, hana nguvu na hana usawa hewani. Hivyo kushindwa mapigano ni hakika kwa asilimia 100
lakini haina maana kwamba nyoka ni mdhaifu la hasha.. Udhaifu wake unatokana na uwanja wa vita usio wake tofauti na ardhini ambapo ana nguvu ya kujeruhi kuumiza na hata kusababisha mauti.
Chukua vita yako katika ulimwengu wa roho kwa kuomba na ukiwa katika ulimwengu wa roho Mungu anachukua vita vyako.
Usipigane na adui katika eneo lake la faraja,
badilisha uwanja wa vita kama Tai
na Mungu akusimamie kwa maombi yako ya bidii na ya dhati ya moyo wako
Utakuwa na uhakika wa ushindi safi!View attachment 2790189
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Kaka mchawi (Mshana Jr), binafsi kuna jimama limoja hivi lichawi sana hapa mtaani kwetu anataka kunimaliza kwa kuniroga na mimi si mchawi, napambana naye kivipi?Atamchukua juu angani na kubadilisha uwanja wa vita, na kisha atamwachilia nyoka angani.
Nyoka hana stamina, hana nguvu na hana usawa hewani. Hivyo kushindwa mapigano ni hakika kwa asilimia 100
lakini haina maana kwamba nyoka ni mdhaifu la hasha.. Udhaifu wake unatokana na uwanja wa vita usio wake tofauti na ardhini ambapo ana nguvu ya kujeruhi kuumiza na hata kusababisha mauti.
Chukua vita yako katika ulimwengu wa roho kwa kuomba na ukiwa katika ulimwengu wa roho Mungu anachukua vita vyako.
Usipigane na adui katika eneo lake la faraja,
badilisha uwanja wa vita kama Tai
na Mungu akusimamie kwa maombi yako ya bidii na ya dhati ya moyo wako
Utakuwa na uhakika wa ushindi safi!View attachment 2790189
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe bibi unamatatizo.Mara nyingi sana huwa nakwambia usiwe muongo kwenye mitandao ya kijamii. Jionee:
View: https://youtu.be/zEkOCE525Pk?si=LS6cpLjJSk8JJVEa
Nyoka anafatwa na kutandikwa hapo hapo chini na tai.
Hivi uongo huwa unakusaidia nini?
[emoji2][emoji2][emoji1545][emoji1545][emoji1548][emoji173]Yale mambo ya uchawi uchawi achana nayo father huku ndo kwenyewe.
Nimefarijika sana sio utani.
Dah Bonge la ujumbe π― certified....Atamchukua juu angani na kubadilisha uwanja wa vita, na kisha atamwachilia nyoka angani.