Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,440
Mkuu;Hahahaaa kweli kabisa aisee!
She is all over the place utadhani anasumbuliwa na Attention Deficit Disorder.
hizo pesa mtaziingiza kupitia mlango upi? mtabeba sandarusi au?Nyie endeleeni kubeza wakati fund raising kufanikisha maandamano inaendelea ndani na nje ya nchi.
Tatizo unaongelea hoja za kinadharia wakati mimi ninaongelea uhalisia.DAR ES SALAAM wakitokea watu laiki 3 kuandamana hii inatosha kabisa...dont undermine the power of the people
Cha maana ni kuanza kutafutana mitaani kwanza.......
Aisee.Saivi Wapinzani wa Tanzania wanamtegemea Mange Kimambi
Noted .Haliwezekani hilo jambo ..likitokea ntatembea uchi toka posta hadi kimara
Noted[emoji419]Haliwezekani hilo jambo ..likitokea ntatembea uchi toka posta hadi kimara
Mtulia kura 30,000hivi kabisa inamaana hujaona wizi wa kura katika uchaguzi huu uliopira juzi? hujaona makada wa ccm wakisimamia uchaguzi? hujaona watu wakipogwa na wengine kuuwawa? shame be upon you.
Virungu vya kwenye masaburi mbona uviogopiMimi sitaandamana. Sitaki kabisa kupigwa virungu.
Hivi umeelewa nilichokiandika? umefuatilia kasoro za uchaguzi wa kinondoni? ulikuwa unaangalia ITV? hii mijitu ya ccm mwili mkubwa akili kijiko. wewe mpaka masanduku ya kura yanaibiwa na kurudishwa bado unahoji uhalali wa uchaguzi wa kinondoni? utakuwa unaumwa wewe wahi hosptali.Kwa hiyo uchaguzi halali ni ule unaopelekea upinzani kushinda tu. CCM wakishinda wanakuwa wameiba kura.
Nyie ndio great thinkers wa CDM?
Wewe ni mkenya??? "Niwajuavyo watanzania...."[emoji409][emoji409]Kuna minong’ono nong’ono ishaanza kusikika toka kwa baadhi ya watu juu ya maandamano ya kupinga yaliyotokea kipindi cha chaguzi maalumu zilizomalizika wiki jana.
Niwajuavyo Watanzania, sidhani kama kutakuwepo na hayo maandamano. Wataishia kusema sema tu mitandaoni, basi. Mwishowe watasahau na wayalalamikiayo yatapita tu kama upepo.
Ila, tuseme na sisi tunakuwa na maandamano kama yale ya ‘Arab spring’, ni sehemu ipi hapa Dar ambapo panafaa kukusanyikia?
Mnazi Mmoja? Viwanja vya Leader’s? Kawe kule Tanganyika packers?