Tahrir Square redux

Tahrir Square redux

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,155
Reaction score
137,168
This is the best tried and true method of kicking out oppressive regimes ‘peacefully’.

Kwa wale ambao bado mlikuwa mnavaa nepi na kunyonya pacifiers, nawaletea kwenu maandamano ya Tahrir Square ambayo yaliweza kumng’oa madarakani Hosni Mubarak.

View: https://youtu.be/paLKwOY_6hc?si=oiFgIawp1C1Uuy80

Hakukuwa na jeshi, polisi, wala watu wasiojulikana walioweza kushindana na hiyo nguvu ya umma.

Kumbukeni kuwa, jeshi la Misri ni jeshi kubwa na lenye ubora mara mia zaidi ya hao mgambo na sungusungu wa JWTZ.

Lakini halikufua dafu mbele ya nguvu ya umma.

Hilo hata hapa Tanzania linawezekana kabisa.

Siku tutapoacha uoga na kuamua kuingia mtaani hao Waarabu wa Misri, CCM na kundi lake la wahuni kwisha habari yao.

Imagine kuna sustained mass protests nchi nzima na mamilioni ya Watanzania wanajitokeza na kudai katiba mpya na kuwatimua CCM madarakani, nani atazuia?

Hata JWTZ nao watawaunga mkono wananchi kama vile ambavyo jeshi la Misri lilivyowaunga mkono raia dhidi ya Hosni Mubarak.

This kind of mass protest is unstoppable.

View: https://youtu.be/SmciaHm516I?si=yYktf_tcpgnzpsNx
 
Kwani itakuwa tofauti gani na watu wanavyosema hiyo 29th October itavyokia, hakuna tofauti. Hii ndiyo itakavyokua
 
siyo kweli kwamba jeshi la misri halikihusika na kuondolewa kwa mubarak, jeshi halikumtii mubarak tena na his time was up, kwanza unaweza kusema kwamba bila ya jeshi kuingilia mapinduzi yangezimwa plus usa wanted him gone walishamchoka na jeshi la misri ni kama liko chini ya usa kwa maana ya funding, hakuna nchi inayopata financial aid (militarily)kubwa ktk usa kama misri ukiondoa israel …
 
siyo kweli kwamba jeshi la misri halikihusika na kuondolewa kwa mubarak, jeshi halikumtii mubarak tena na his time was up, kwanza unaweza kusema kama bila ya jeshi kuingilia mapinduzi yangezimwa plus usa wanted him gone walishamchoka na jeshi la misri ni kama liko chini ya usa kwa maana ya funding, hakuna nchi inayopata financial aid kubwa ktk usa kama misri ukiondoa israel …
Jeshi la Misri halikumpindua Mubarak.

Jeshi lilikataa kutii amri haramu dhidi ya raia wa Misri.

Same thing can happen here.
 
Back
Top Bottom