Tahrir Square redux

Tahrir Square redux

Jeshi la Misri halikumpindua Mubarak.

Jeshi lilikataa kutii amri haramu dhidi ya raia wa Misri.

Same thing can happen here.

yeah lkn ni lzm jeshi liwe upande wa raia pia na mara nyingi hili hutokea pale ambapo revolution inakuwa na baraka za nje mipaka ya nchi husika hivyo hao mageneral wa jeshi hupigwa mkwara kwamba kuna consequences kama mkiingilia na kuuwa watu, ndiyo huona mara nyingi jeshi haliingilii tena na wakati mwingine hata kulinda raia lkn hii ni lzm ipangwe.

bottom line mapinduzi huwa hayatokea tu ghafla its a build up of things tunaoyaona siku ya mapinduzi huwa ni hatua za mwisho kabisa kibongo kibongo tunaita kushupaza shingo kwa wahusika ambao hawatakiwi …
 
Jeshi la Misri haliwezi kuwa Bora zaidi ya jeshi letu,msemaji wa JWTZ alituambia jeshi letu ni la sita kwa ubora duniani na akasisitiza kama tunabisha tukagugo.
 
This is the best tried and true method of kicking out oppressive regimes ‘peacefully’.

Kwa wale ambao bado mlikuwa mnavaa nepi na kunyonya pacifiers, nawaletea kwenu maandamano ya Tahrir Square ambayo yaliweza kumng’oa madarakani Hosni Mubarak.

View: https://youtu.be/paLKwOY_6hc?si=oiFgIawp1C1Uuy80

Hakukuwa na jeshi, polisi, wala watu wasiojulikana walioweza kushindana na hiyo nguvu ya umma.

Kumbukeni kuwa, jeshi la Misri ni jeshi kubwa na lenye ubora mara mia zaidi ya hao mgambo na sungusungu wa JWTZ.

Lakini halikufua dafu mbele ya nguvu ya umma.

Hilo hata hapa Tanzania linawezekana kabisa.

Siku tutapoacha uoga na kuamua kuingia mtaani hao Waarabu wa Misri, CCM na kundi lake la wahuni kwisha habari yao.

Imagine kuna sustained mass protests nchi nzima na mamilioni ya Watanzania wanajitokeza na kudai katiba mpya na kuwatimua CCM madarakani, nani atazuia?

Hata JWTZ nao watawaunga mkono wananchi kama vile ambavyo jeshi la Misri lilivyowaunga mkono raia dhidi ya Hosni Mubarak.

This kind of mass protest is unstoppable.

View: https://youtu.be/SmciaHm516I?si=yYktf_tcpgnzpsNx

Sometimes yes, Sometimes no!
Nyani is now back to his senses!

Muda mwingine mmenyo wa viazi, moshi wa mafuta,packaging...Kutokea hapo kigambonino+ ukikumbukia U.S.A...Umeme unarudi!, Umeme Unakata!
 
I know I can whup your ass.

Come fight me.
 
Wa tz wanaweza kuorganize maji, chakula na matibabu? Hawawezi kuwa massacred kama kule Tianmen.
 
This is the best tried and true method of kicking out oppressive regimes ‘peacefully’.

Kwa wale ambao bado mlikuwa mnavaa nepi na kunyonya pacifiers, nawaletea kwenu maandamano ya Tahrir Square ambayo yaliweza kumng’oa madarakani Hosni Mubarak.

View: https://youtu.be/paLKwOY_6hc?si=oiFgIawp1C1Uuy80

Hakukuwa na jeshi, polisi, wala watu wasiojulikana walioweza kushindana na hiyo nguvu ya umma.

Kumbukeni kuwa, jeshi la Misri ni jeshi kubwa na lenye ubora mara mia zaidi ya hao mgambo na sungusungu wa JWTZ.

Lakini halikufua dafu mbele ya nguvu ya umma.

Hilo hata hapa Tanzania linawezekana kabisa.

Siku tutapoacha uoga na kuamua kuingia mtaani hao Waarabu wa Misri, CCM na kundi lake la wahuni kwisha habari yao.

Imagine kuna sustained mass protests nchi nzima na mamilioni ya Watanzania wanajitokeza na kudai katiba mpya na kuwatimua CCM madarakani, nani atazuia?

Hata JWTZ nao watawaunga mkono wananchi kama vile ambavyo jeshi la Misri lilivyowaunga mkono raia dhidi ya Hosni Mubarak.

This kind of mass protest is unstoppable.

View: https://youtu.be/SmciaHm516I?si=yYktf_tcpgnzpsNx

As true as it gets! Watanzania laki tano tu wakiingia barabarani, Serikali dhalimu ya CCM inabwaga manyanga asubuhi na mapema.
 
Back
Top Bottom