Tahosa ni wababaishaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahosa ni wababaishaji

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MWAKIGOBE, Aug 18, 2011.

 1. MWAKIGOBE

  MWAKIGOBE Member

  #1
  Aug 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Maonyesho ya ubunifu uliofanywa na wanafunzi wa mkoa wa kilimanjaro jana ambao wanafunzi walionyesha vitumbalimbali walivyo buni ambapo shule ya same iliibuka wa kwanza kwa kuonyesha mashine ya kiuchuja maji, nafasi ya pioli ilienda greenbird kutoka mwanga hawa walitengeneza dawa ya mmbu, ya tatu ilienda moshi vijijini. Maonyesho haya yalikuwa mazuri, ila wanafunzi na walimu wao walipewa nauli tu, hata chakula hawakupewa, hii inawakatisha tamaa sana wanafunzi wetu.
   
 2. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,199
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 160
  Tatizo lenu Walimu wetu wengi hamjui stahili zenu na ndio maana mnapunjwa
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Vipi kaka lengo lilikuwa msosi nini? Maana nakujua wewe.
   
 4. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Waiandaa shindano harakaharaka wakasahau mahitaji muhimu mengine
   
Loading...