Tahadhari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Globu, May 15, 2011.

 1. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Wanandoa waliodumu zaidi ya miaka ishirini wamebainika wana ugonjwa wa KISUKARI, utafiti unaonyesha kuwa waliugua kwasababu ya majina wanayoitana baina yao kama: HONEY, MY SWEETY, MY CHOCOLATE nk. Mkinge mpenzi wako na ugonjwa wa kisukari kwa kumuita MY PIRITON, MY KLOROKWIN, MY PANADOL, MY SHUBIRI nk. Imetolewa na WIZARA YA AFYA.
   
 2. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mh! Kweli. Halafu kuna mwanandoa mmoja baada ya kupata athari ya hiyo kitu akaanza mchezo wa kufi...lima fiasi. Mkewe akamshtaki baada ya kukerwa. Muathirika wa kisukari akamwambia hakimu kuwa kaambiwa asile vitu vya sukari. Kumbe sukari kaisababisha mke
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Saa ukimwita piriton si atasinzia?
   
Loading...