Globu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,101
- 2,610
Wanandoa waliodumu zaidi ya miaka ishirini wamebainika wana ugonjwa wa KISUKARI, utafiti unaonyesha kuwa waliugua kwasababu ya majina wanayoitana baina yao kama: HONEY, MY SWEETY, MY CHOCOLATE nk. Mkinge mpenzi wako na ugonjwa wa kisukari kwa kumuita MY PIRITON, MY KLOROKWIN, MY PANADOL, MY SHUBIRI nk. Imetolewa na WIZARA YA AFYA.