Boloyoung
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 682
- 652
Ndugu yangu chukua tahadhari mapema sana, usije ukaenda cafe yoyote ukala vyakula kama pizza, chips kuku wa kienyeji, sandwich, egg chop, bagga, maini, biriani, beef meet chop nk bila ya kunikumbuka maana mimi pia ndio mambo yangu hayo! ila kwa sasa sina kitu
[HASHTAG]#ukata[/HASHTAG].
[HASHTAG]#ukata[/HASHTAG].