That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,206
- 3,647
Ndugu yangu Mkiristo na Muislam chukua tahadhari mapema sana,
usije ukaenda KFC au cafe yoyote ukala vyakula kama pizza , chips kuku wa kienyeji, sandwich, egg chop, bagga, maini, biriani, beef meet chop nk. Bila ya kunikumbuka nami maana mm pia ndio mambo yangu hayo! !!!. Ila kwa sasa sina kitu, ukizingatia nimevimiss sana.