Wako busy kujenga majengo ya mikutano Afrika!
Ama wamejikita kwenye uchaguzi 2025!
Swala la BANDARI lasumbuwa! WADANGANYIKA ni kama WAMEAMKA usingizini!
Dola zingekuwepo kama DPWorld wangepokelewa kwa cherekochereko na ngoma kwenye ma Airport yetu! #royaltour hamkuipokea kwa mikoni miwili ndio maana WATALII WAMESUSA!
Ukame umezidi! Kwani hamuoni mbu na vyura wakiandamana mitaani?! Na mradi pale Rufiji unakwamishwa na wale wakandarasi wa Uturuki kutowalipa wafanyakazi!
Miundo mbinu imeharibika sababu JPM na watu wake hawakuwa makini !
Ebu tumuache mama aupige mwingi mbona hamkulalamika haya yote wakati wa Mzee wa Chato?!
MshanaJR una ubaguzi! Hupendi Wapemba wala Waunguja! Hupendi Muungano....