Tahadhari ya Taharuki Tanganyika

Tahadhari ya Taharuki Tanganyika

Kwakuwa la ndugu zetu Wamasai tulishalisema sana lakini tukapuuzwa na kukejeliwa sana.. Ngoja sasa tuliache litutumke! Likifika pa kupasuka..TUSITAFUTANE!

Tahadhari ya taharuki kuu iliyopo mbele yetu ni ya mafuta.. Ukweli useme hali ni mbaya na tunakoelekea inaweza kuwa mbaya zaidi na zaidi

Pengine linaweza kuvumilika kwa muda kikomo, lakini sasa kuna baadhi ya maeneo nchini Tanganyika kwa sasa
Hakuna dola
Hakuna umeme
Hakuna maji
Hakuna mafuta

Hiyo dola kwakuwa wengi hawana ufahamu nayo kukosekana kwake tunaweza kuiweka kando.. Lakini vipi hayo mengine matatu?

Kwenye biashara hakuna umeme
Barabarani hakuna mafuta
Nyumbani hakuna maji, hakuna umeme.. Uchumi wetu unapigwa kelebu tatu bila!

Tunakoelekea ni kwenye state emergency.. Lakini viongozi wako busy na mengine yasiyo muhimu
Wengine wako kimya
Wanaotoa matamko wanachanganyana
Huwezi kuamini mpaka sasa hakuna aliyejiuzulu kuonesha uwajibikaji!

Katikati ya mtanziko mkubwa kama huu, jeshi letu tukufu linatoa kauli kuingia mitaani na majumbani kusaka nguo za mitumba kafaulaya zinazofanana fanana na za kwao! Hiki ndio kipaumbele jeshi letu la ulinzi kwa sasa[emoji848][emoji24]..... Ambalo mmoja wa viongozi wake aliongopa wazi ni la sita kwa ubora duniani[emoji1544][emoji1550][emoji23]
Majizi yanaiba na kuua uchumi wa Nchi
Screenshot_20230904-105238.jpg
 
Matafa .kubwa tajiri duniani yanazidi kununua mafuta yanayo zalishwa kuweka akiba kwa sababu ya machafuko ya vita zinazo piganwa duniani bado kinaweza kuwa muda wowote seriya hivio basi mataifa chonganishi duniani yahodhi mafuta yanayo zalishwa hili baadae kila nchi inijue

Pia wazalisha wakubwa wa mafuta urusi na saudia wamepunguza uzalishaji

Iran binizwela kuna mafuta mengi lakini Marekani imeweka vikwazo mafuta yao yanaenda mashariki ya mbali sio afirika
Kwa hili la mafuta dunia nzima inalia

Hili la maji ccm walaumiwe tu
 
mshana heshima uloijenga hapa jamiiforum imeporomoka kwa kasi sana maana mi nachojua naww ni mnufaika wa wizi pale bandarini huu mkataba umekubana vibaya kama mjuzi mwaga mchele kilingeni utanikuta mafia
 
Suala la mafuta sisi hatuna visima na nchi zinazozalisha mafuta kwa wingi wamekubaliana kupinguza kwa kiasi kikubwa uzalishaji wa mafuta ili ku stabilize bei.

Nchi nyingi zinapata tabu sana kuagiza mafuta kwa gharama kubwa.
 
Leo nimeangalia mkutano wa Lisu Wamasai wanaonekana wanahasira sana ukienda kule ukahutubia utumbo utaishia kupigwa fimbo.
 
Back
Top Bottom