Tahadhari ya Taharuki Tanganyika

Tahadhari ya Taharuki Tanganyika

Nachojua jeshi letu ni la sita kwa ubora na shughuli yake mnaiona[emoji1787][emoji1787]

Mengn kwa Tanzania hayashtui sana
WAKILI MWABUKUSI ANATAKA MKUU WA MAJESHI AZUIE UVUNJIFU WA KATIBA!

Wakili Kajunjumele Boniface Mwabukusi atoa wito kwa Mkuu wa Majeshi nchini kuingilia kati kitendo cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wanaotaka kuingia mitani kutafuta share zao. Kwamba asipofanya hivyo, Mkuu wa
Majeshi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali wataburuzwa mahakamani. Nini maoni yako? Je, nini kimekushangaza? Soma ujumbe huu:

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 7 Agosti 2023; 03:10 asubuhi.

"Nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria na katiba. Kazi ya kukamata wa halifu ni ya Jeshi la Polisi. Jeshi la wananchi halina mamlaka kisheria na kikatiba kuingia kufanya msako mitaani kwa kisingizio cha kutafuta sare zao. Jukumu lao ni kulinda mipaka ya nchi. Cha ajabu hawajatuambia walizipeleka lini huko mitaani au zilichukuliwa na nani au waliibiwa lini? This is more than a comic [Huu ni usanii]!

Mwanajeshi hana mamlaka ya kupekua mtu katika makazi yake au maungo ya raia. Hii ni kazi ya Polisi wetu. Isipokuwa pale kunapokuwa na hali ya hatari au tishio dhahiri la mapinduzi.

Sheria inaruhusu kukataa ukamataji haramu na iwapo jeshi litaingia kwa namna hii ni haki ya wananchi kukataa ukamataji au upekuzi haramu usiofuata sheria ikiwemo kumshtaki Mwanasheria mkuu na Mkuu wa Majeshi ili kulinda sheria na Katiba ya Nchi na kudai fidia ya usumbufu.

Kama jeshi limeibiwa sare zake likaripoti Polisi. Polisi wafanye uchunguzi na wakibaini kosa Polisi ndiyo wenye utaalamu wa kupeleleza uhalifu wa wizi. Jeshi au wanajeshi hawako juu ya sheria [hivyo] wapunguze mihemko.

Kumekuwa na ujasiri wa uvunjaji katiba na sheria na kuwatisha wananchi katika taifa letu katika uongozi huu wa sasa na kwa hili hatutakubali na tutalitolea tamko rasmi kupinga vurugu hizi katika utumishi wa umma.

Mkuu wa Majeshi awajibike haraka kuzuia ukora huu wanaotaka au kupanga kuufanya!

Najisikia aibu sana kuishi na kushuhudia viroja hivi. Mungu bariki Watanganyika! Mungu ibariki Tanzania! Mungu waadhibu na kuwakemea madhalimu wote.

Boniface Kajunjumele Mwabukusi!
FB_IMG_1694150395164.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katikati ya mtanziko mkubwa kama huu, jes..hi letu tukufu linatoa kauli kuingia mitaani na majumbani kusaka nguo za mitumba kafaulaya zinazofanana fanana na za kwao! Hiki ndio kipaumbele jeshi letu la ulinzi kwa sasa[emoji848][emoji24]..... Ambalo mmoja wa viongozi wake aliongopa wazi ni la sita kwa ubora duniani.

Wako busy pia kushindana kununua magari.
 
Kwakuwa la ndugu zetu Wamasai tulishalisema sana lakini tukapuuzwa na kukejeliwa sana.. Ngoja sasa tuliache litutumke! Likifika pa kupasuka..TUSITAFUTANE!

Tahadhari ya taharuki kuu iliyopo mbele yetu ni ya mafuta.. Ukweli useme hali ni mbaya na tunakoelekea inaweza kuwa mbaya zaidi na zaidi

Pengine linaweza kuvumilika kwa muda kikomo, lakini sasa kuna baadhi ya maeneo nchini Tanganyika kwa sasa
Hakuna dola
Hakuna umeme
Hakuna maji
Hakuna mafuta

Hiyo dola kwakuwa wengi hawana ufahamu nayo kukosekana kwake tunaweza kuiweka kando.. Lakini vipi hayo mengine matatu?

Kwenye biashara hakuna umeme
Barabarani hakuna mafuta
Nyumbani hakuna maji, hakuna umeme.. Uchumi wetu unapigwa kelebu tatu bila!

Tunakoelekea ni kwenye state emergency.. Lakini viongozi wako busy na mengine yasiyo muhimu
Wengine wako kimya
Wanaotoa matamko wanachanganyana
Huwezi kuamini mpaka sasa hakuna aliyejiuzulu kuonesha uwajibikaji!

Katikati ya mtanziko mkubwa kama huu, jeshi letu tukufu linatoa kauli kuingia mitaani na majumbani kusaka nguo za mitumba kafaulaya zinazofanana fanana na za kwao! Hiki ndio kipaumbele jeshi letu la ulinzi kwa sasa[emoji848][emoji24]..... Ambalo mmoja wa viongozi wake aliongopa wazi ni la sita kwa ubora duniani[emoji1544][emoji1550][emoji23]
 

Attachments

  • IMG_2516.MP4
    9.7 MB
Ngozi nyeusi ina upumbavu wa milele.

Uafrika hasa utanzania ni laana.

Sasa sidhani kama ukiishi kwenye Laana hili ni jambo la kushangaza.

Waafrika wame laanika.
 
WAKILI MWABUKUSI ANATAKA MKUU WA MAJESHI AZUIE UVUNJIFU WA KATIBA!

Wakili Kajunjumele Boniface Mwabukusi atoa wito kwa Mkuu wa Majeshi nchini kuingilia kati kitendo cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wanaotaka kuingia mitani kutafuta share zao. Kwamba asipofanya hivyo, Mkuu wa
Majeshi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali wataburuzwa mahakamani. Nini maoni yako? Je, nini kimekushangaza? Soma ujumbe huu:

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 7 Agosti 2023; 03:10 asubuhi.

"Nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria na katiba. Kazi ya kukamata wa halifu ni ya Jeshi la Polisi. Jeshi la wananchi halina mamlaka kisheria na kikatiba kuingia kufanya msako mitaani kwa kisingizio cha kutafuta sare zao. Jukumu lao ni kulinda mipaka ya nchi. Cha ajabu hawajatuambia walizipeleka lini huko mitaani au zilichukuliwa na nani au waliibiwa lini? This is more than a comic [Huu ni usanii]!

Mwanajeshi hana mamlaka ya kupekua mtu katika makazi yake au maungo ya raia. Hii ni kazi ya Polisi wetu. Isipokuwa pale kunapokuwa na hali ya hatari au tishio dhahiri la mapinduzi.

Sheria inaruhusu kukataa ukamataji haramu na iwapo jeshi litaingia kwa namna hii ni haki ya wananchi kukataa ukamataji au upekuzi haramu usiofuata sheria ikiwemo kumshtaki Mwanasheria mkuu na Mkuu wa Majeshi ili kulinda sheria na Katiba ya Nchi na kudai fidia ya usumbufu.

Kama jeshi limeibiwa sare zake likaripoti Polisi. Polisi wafanye uchunguzi na wakibaini kosa Polisi ndiyo wenye utaalamu wa kupeleleza uhalifu wa wizi. Jeshi au wanajeshi hawako juu ya sheria [hivyo] wapunguze mihemko.

Kumekuwa na ujasiri wa uvunjaji katiba na sheria na kuwatisha wananchi katika taifa letu katika uongozi huu wa sasa na kwa hili hatutakubali na tutalitolea tamko rasmi kupinga vurugu hizi katika utumishi wa umma.

Mkuu wa Majeshi awajibike haraka kuzuia ukora huu wanaotaka au kupanga kuufanya!

Najisikia aibu sana kuishi na kushuhudia viroja hivi. Mungu bariki Watanganyika! Mungu ibariki Tanzania! Mungu waadhibu na kuwakemea madhalimu wote.

Boniface Kajunjumele Mwabukusi!View attachment 2742870

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila huyu mwamba kuna uthubutu mkubwa mkubwa anauonesha. Hata kama atapitia magumu lkn tayari Kuna jambo kalipandikiza kwa wanasheria na watu wa kada mbali mbali
 
Katikati ya mtanziko mkubwa kama huu, jes..hi letu tukufu linatoa kauli kuingia mitaani na majumbani kusaka nguo za mitumba kafaulaya zinazofanana fanana na za kwao! Hiki ndio kipaumbele jeshi letu la ulinzi kwa sasa[emoji848][emoji24]..... Ambalo mmoja wa viongozi wake aliongopa wazi ni la sita kwa ubora duniani.

Wako busy pia kushindana kununua magari.
Plagiarism: cc Mshana jr
 
......Huwezi kuamini mpaka sasa hakuna aliyejiuzulu kuonesha uwajibikaji!...... (Not in TZ !!! It's Like A Worst Nightmare !!!)
 
Baada ya kupewa mbuga za loliondo na ngorongoro sijui na ekari ngapi za misitu, mwarabu anasubiri tu kukabidhiwa mlango wa kutokea hapo bandarini, sasa sijajua ni mipaka ipi na katiba ipi ambayo hili jeshi letu pendwa linayolinda.
 
WAKILI MWABUKUSI ANATAKA MKUU WA MAJESHI AZUIE UVUNJIFU WA KATIBA!

Wakili Kajunjumele Boniface Mwabukusi atoa wito kwa Mkuu wa Majeshi nchini kuingilia kati kitendo cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wanaotaka kuingia mitani kutafuta share zao. Kwamba asipofanya hivyo, Mkuu wa
Majeshi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali wataburuzwa mahakamani. Nini maoni yako? Je, nini kimekushangaza? Soma ujumbe huu:

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 7 Agosti 2023; 03:10 asubuhi.

"Nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria na katiba. Kazi ya kukamata wa halifu ni ya Jeshi la Polisi. Jeshi la wananchi halina mamlaka kisheria na kikatiba kuingia kufanya msako mitaani kwa kisingizio cha kutafuta sare zao. Jukumu lao ni kulinda mipaka ya nchi. Cha ajabu hawajatuambia walizipeleka lini huko mitaani au zilichukuliwa na nani au waliibiwa lini? This is more than a comic [Huu ni usanii]!

Mwanajeshi hana mamlaka ya kupekua mtu katika makazi yake au maungo ya raia. Hii ni kazi ya Polisi wetu. Isipokuwa pale kunapokuwa na hali ya hatari au tishio dhahiri la mapinduzi.

Sheria inaruhusu kukataa ukamataji haramu na iwapo jeshi litaingia kwa namna hii ni haki ya wananchi kukataa ukamataji au upekuzi haramu usiofuata sheria ikiwemo kumshtaki Mwanasheria mkuu na Mkuu wa Majeshi ili kulinda sheria na Katiba ya Nchi na kudai fidia ya usumbufu.

Kama jeshi limeibiwa sare zake likaripoti Polisi. Polisi wafanye uchunguzi na wakibaini kosa Polisi ndiyo wenye utaalamu wa kupeleleza uhalifu wa wizi. Jeshi au wanajeshi hawako juu ya sheria [hivyo] wapunguze mihemko.

Kumekuwa na ujasiri wa uvunjaji katiba na sheria na kuwatisha wananchi katika taifa letu katika uongozi huu wa sasa na kwa hili hatutakubali na tutalitolea tamko rasmi kupinga vurugu hizi katika utumishi wa umma.

Mkuu wa Majeshi awajibike haraka kuzuia ukora huu wanaotaka au kupanga kuufanya!

Najisikia aibu sana kuishi na kushuhudia viroja hivi. Mungu bariki Watanganyika! Mungu ibariki Tanzania! Mungu waadhibu na kuwakemea madhalimu wote.

Boniface Kajunjumele Mwabukusi!View attachment 2742870

Sent using Jamii Forums mobile app
Sare za kichina ni za kwao tangu lini? Sare ya jeshi la Tanzania haifananani na sare ya nchi yoyote duaniani wanataka kuzifanyia nini?
 
Kwakuwa la ndugu zetu Wamasai tulishalisema sana lakini tukapuuzwa na kukejeliwa sana.. Ngoja sasa tuliache litutumke! Likifika pa kupasuka..TUSITAFUTANE!

Tahadhari ya taharuki kuu iliyopo mbele yetu ni ya mafuta.. Ukweli useme hali ni mbaya na tunakoelekea inaweza kuwa mbaya zaidi na zaidi

Pengine linaweza kuvumilika kwa muda kikomo, lakini sasa kuna baadhi ya maeneo nchini Tanganyika kwa sasa
Hakuna dola
Hakuna umeme
Hakuna maji
Hakuna mafuta

Hiyo dola kwakuwa wengi hawana ufahamu nayo kukosekana kwake tunaweza kuiweka kando.. Lakini vipi hayo mengine matatu?

Kwenye biashara hakuna umeme
Barabarani hakuna mafuta
Nyumbani hakuna maji, hakuna umeme.. Uchumi wetu unapigwa kelebu tatu bila!

Tunakoelekea ni kwenye state emergency.. Lakini viongozi wako busy na mengine yasiyo muhimu
Wengine wako kimya
Wanaotoa matamko wanachanganyana
Huwezi kuamini mpaka sasa hakuna aliyejiuzulu kuonesha uwajibikaji!

Katikati ya mtanziko mkubwa kama huu, jeshi letu tukufu linatoa kauli kuingia mitaani na majumbani kusaka nguo za mitumba kafaulaya zinazofanana fanana na za kwao! Hiki ndio kipaumbele jeshi letu la ulinzi kwa sasa[emoji848][emoji24]..... Ambalo mmoja wa viongozi wake aliongopa wazi ni la sita kwa ubora duniani[emoji1544][emoji1550][emoji23]
Wanahitajika wanajeshi wapya kabisa sasa hivi, wenye misimamo na uzalendo kama walivyokuwa akina Thomas Sankara (Burkina Faso), Olusegun Obasanjo (Nigeria), Jerry John Rawlings (Ghana), na pengine kama Brice Oligui Nguema wa sasa huko Gabon endapo ataendelea na kasi aliyoanza nayo.
 
Back
Top Bottom