Tahadhari: Wizi mpya maeneo ya shopping malls

Juzi nimeenda Mlimani City kwa ajili ya kujipatia huduma katika maduka yaliopo pale, baada ya mihangaiko ya mda mrefu kutafuta ninachokitaka bila ya mafanikio, nikaamua kupata chakula katika mgahawa wa Mary Brown, wakati nasubiri chakula na kinywaji nilichoagiza, ghafla akatokea dada mmoja mrembo na alievaa nguo zinazoonekana za gharama kidogo alipofika alikuja kukaa meza karibu na ya kwangu na kuanza kuchezea chezea simu, nikashangaa kwa nini hakuenda kutoa oda na amekuja straight kukaa!

Mara akaniomba simu na hapa ninamnukuu "kaka samahani naomba kidogo uniazime simu nimpigie rafiki yangu ananitafuta na mimi simu yangu imeisha chaji" kwa jinsi alivyo sikuwa na mashaka nae hata chembe, nikazama mfukoni na kutoa simu, kidogo akaanza kunyanyuka na kusogea kaunta akiwa na simu yangu kama anaenda kuagiza chakula akiwa bado anaongea kwa kutumia simu yangu niliompa wakati wote huo alikuwa anaongea na huku kila baada ya sekunde kadhaa ananiangalia mimi, na mimi kwa kumtoa wasi wasi nikaamua kuangalia upande mwengine ghafla kama niliepitiwa na mshangao kidogo sikumuona tena machoni mwangu.

Nilichokifanya ni kukimbia mbio nikiwacha chakula mezani na kukimbilia nje kabisa ya eneo lile, nilienda kumkamata nje kabisa akijiandaa kupanda bodaboda. Nilikwapua simu yangu na kurudi ndani kuendelea na mambo yangu na sikutaka ugomvi. Tuchukue tahadhari sana wakuu. Ni mdada mrefu kidogo mweupe, miaka kati ya 20 na 25, chini ya midomo ametoga na ana kito flani hivi cha silver, neno moja anaweka english, anavaa miwani rangi kama ya kahawia.

Ndo hivyo mkuu:
"WHEN THE GOING GETS TOUGH, THE TOUGH GET GOING!"
 
Usikubali strangers atumie sim yako, inaweza kuwa anaongea na wahalifu.
 
Mwanamke kuvaa hereni tu sifagilii, asa huyo wa kutoga midomo nadhani hata nisingemsikiliza kwakweli, au kikuku mara tatoo kutoga pua~tupa kuleeeee
 
Kwahiyo anabeba simu yoyote au anaangalia na simu yenyewe? Ungempa vitasa kadhaa pale nje.
 
Pole sana, umenikumbusha mwaka 2009 niliibiwa hivyo na mdada wa jirani na ghetho langu, MUNGU wa ajabu mwezi wa pili mwaka huu nikamfuma geita kaolewa napita njiani, akataka kukimbilia ndani, nikamwambia upogo huku? Kwa aibu, ndiyo..., nikamwambia napita baadae. Nikamwacha anatetemeka midomo.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Juzi nimeenda Mlimani City kwa ajili ya kujipatia huduma katika maduka yaliopo pale, baada ya mihangaiko ya mda mrefu kutafuta ninachokitaka bila ya mafanikio, nikaamua kupata chakula katika mgahawa wa Mary Brown, wakati nasubiri chakula na kinywaji nilichoagiza, ghafla akatokea dada mmoja mrembo na alievaa nguo zinazoonekana za gharama kidogo alipofika alikuja kukaa meza karibu na ya kwangu na kuanza kuchezea chezea simu, nikashangaa kwa nini hakuenda kutoa oda na amekuja straight kukaa!

Mara akaniomba simu na hapa ninamnukuu "kaka samahani naomba kidogo uniazime simu nimpigie rafiki yangu ananitafuta na mimi simu yangu imeisha chaji" kwa jinsi alivyo sikuwa na mashaka nae hata chembe, nikazama mfukoni na kutoa simu, kidogo akaanza kunyanyuka na kusogea kaunta akiwa na simu yangu kama anaenda kuagiza chakula akiwa bado anaongea kwa kutumia simu yangu niliompa wakati wote huo alikuwa anaongea na huku kila baada ya sekunde kadhaa ananiangalia mimi, na mimi kwa kumtoa wasi wasi nikaamua kuangalia upande mwengine ghafla kama niliepitiwa na mshangao kidogo sikumuona tena machoni mwangu.

Nilichokifanya ni kukimbia mbio nikiwacha chakula mezani na kukimbilia nje kabisa ya eneo lile, nilienda kumkamata nje kabisa akijiandaa kupanda bodaboda. Nilikwapua simu yangu na kurudi ndani kuendelea na mambo yangu na sikutaka ugomvi. Tuchukue tahadhari sana wakuu. Ni mdada mrefu kidogo mweupe, miaka kati ya 20 na 25, chini ya midomo ametoga na ana kito flani hivi cha silver, neno moja anaweka english, anavaa miwani rangi kama ya kahawia.

Ndo uache shobo nawanawake aisee saiv hawafai ndo majambaz wabaya sana,, ila tunashukuru kwa tahadhari
 
Ningempiga mpaka apoteze sura harakaharaka kabla hajaokolewa na polisi. Sipendagi ujinga.
 
Unge shout "mwiziii" ashushiwe kipigo jioni aonekane kwenye news ili wengi wachukue tahadhari wamwonapo karibu yao, huyo ni mtu hatari sana hafai
 
Wewe ni wa wapi , nyanda za juu kusini au ziwa halafu alikuwa anawsiliana na namb ambayo imekupigia tena baadaye , kuwa makini naamini namb yako wataifuata kukusumbua , ole wako habari hii imfikie mwenzi wako
 
Juzi nimeenda Mlimani City kwa ajili ya kujipatia huduma katika maduka yaliopo pale, baada ya mihangaiko ya mda mrefu kutafuta ninachokitaka bila ya mafanikio, nikaamua kupata chakula katika mgahawa wa Mary Brown, wakati nasubiri chakula na kinywaji nilichoagiza, ghafla akatokea dada mmoja mrembo na alievaa nguo zinazoonekana za gharama kidogo alipofika alikuja kukaa meza karibu na ya kwangu na kuanza kuchezea chezea simu, nikashangaa kwa nini hakuenda kutoa oda na amekuja straight kukaa!

Mara akaniomba simu na hapa ninamnukuu "kaka samahani naomba kidogo uniazime simu nimpigie rafiki yangu ananitafuta na mimi simu yangu imeisha chaji" kwa jinsi alivyo sikuwa na mashaka nae hata chembe, nikazama mfukoni na kutoa simu, kidogo akaanza kunyanyuka na kusogea kaunta akiwa na simu yangu kama anaenda kuagiza chakula akiwa bado anaongea kwa kutumia simu yangu niliompa wakati wote huo alikuwa anaongea na huku kila baada ya sekunde kadhaa ananiangalia mimi, na mimi kwa kumtoa wasi wasi nikaamua kuangalia upande mwengine ghafla kama niliepitiwa na mshangao kidogo sikumuona tena machoni mwangu.

Nilichokifanya ni kukimbia mbio nikiwacha chakula mezani na kukimbilia nje kabisa ya eneo lile, nilienda kumkamata nje kabisa akijiandaa kupanda bodaboda. Nilikwapua simu yangu na kurudi ndani kuendelea na mambo yangu na sikutaka ugomvi. Tuchukue tahadhari sana wakuu. Ni mdada mrefu kidogo mweupe, miaka kati ya 20 na 25, chini ya midomo ametoga na ana kito flani hivi cha silver, neno moja anaweka english, anavaa miwani rangi kama ya kahawia.

Ungempa kile kisimu cha 'Tochi' kinachokaa sana na chage , sema na wewe alikuvutia ndiyo ukaamua kumkoga na smartphone lako!
 
Hao dawa yao ndogo tu; tembea na simu mbili, moja touch na nyingine ya tochi. Akija kukuomba mtolee ile ya tochi kama atakimbia nayo. Sitaki ujinga mimi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kitendo cha kununua simu mbili eti moja ikiwa ni maalumu kama dawa kwa wale wanaokuja kukuomba simu ni kujiongezea gharama zisizo za lazima. Nionavyo msimamo sahihi ni kutokuwa mwepesi kumpa simu mtu yeyote ambaye haumfahamu bila kujali jinsia yake au utanashati wake.

Huu mchezo upo miaka mingi sana tangu mwaka 2000.

Kuna kijana mmoja wa familia ya mzee Mwakitundu wa Iringa (akiwa na uhusiano na Mic Tea yule mwanamuziki wa bongo fleva) alikuwa akiwaliza watu wengi sana pale Ubungo Bus Terminal kwa kutumia staili hiyo ya kuwaomba simu wasafiri kwa madai ya yeye kuweka vocha ili aongee na ndugu zake waliofika kumpokea na kisha kutokomea nazo. Sijui kwa staili ile kama bado anapumua.
 
Juzi nimeenda Mlimani City kwa ajili ya kujipatia huduma katika maduka yaliopo pale, baada ya mihangaiko ya mda mrefu kutafuta ninachokitaka bila ya mafanikio, nikaamua kupata chakula katika mgahawa wa Mary Brown, wakati nasubiri chakula na kinywaji nilichoagiza, ghafla akatokea dada mmoja mrembo na alievaa nguo zinazoonekana za gharama kidogo alipofika alikuja kukaa meza karibu na ya kwangu na kuanza kuchezea chezea simu, nikashangaa kwa nini hakuenda kutoa oda na amekuja straight kukaa!

Mara akaniomba simu na hapa ninamnukuu "kaka samahani naomba kidogo uniazime simu nimpigie rafiki yangu ananitafuta na mimi simu yangu imeisha chaji" kwa jinsi alivyo sikuwa na mashaka nae hata chembe, nikazama mfukoni na kutoa simu, kidogo akaanza kunyanyuka na kusogea kaunta akiwa na simu yangu kama anaenda kuagiza chakula akiwa bado anaongea kwa kutumia simu yangu niliompa wakati wote huo alikuwa anaongea na huku kila baada ya sekunde kadhaa ananiangalia mimi, na mimi kwa kumtoa wasi wasi nikaamua kuangalia upande mwengine ghafla kama niliepitiwa na mshangao kidogo sikumuona tena machoni mwangu.

Nilichokifanya ni kukimbia mbio nikiwacha chakula mezani na kukimbilia nje kabisa ya eneo lile, nilienda kumkamata nje kabisa akijiandaa kupanda bodaboda. Nilikwapua simu yangu na kurudi ndani kuendelea na mambo yangu na sikutaka ugomvi. Tuchukue tahadhari sana wakuu. Ni mdada mrefu kidogo mweupe, miaka kati ya 20 na 25, chini ya midomo ametoga na ana kito flani hivi cha silver, neno moja anaweka english, anavaa miwani rangi kama ya kahawia.
Atakuwa gigy money huyo
 
Back
Top Bottom