Tahadhari: Wizi mpya maeneo ya shopping malls

Tahadhari: Wizi mpya maeneo ya shopping malls

KWELI KAKA WATU HAWAHONGI MIMI TOKA NIMEZIMIWA NA TCRA NIPO NA KITOCHI CHANGU INGEKUWA ENZI ZA JK NINGESHANUNULIWA
Pole ila usiige hiyo mbinu cha msingi shusha dau ukipata wengi utanunua ya kwanko
 
Pole,ungempiga picha ili tumjue[emoji15]
 
Na kumbutua makofi mkuu

Mkuu mi kwa kawaida ni mtu peace sana pale ningeamsha vurugu zisizo na maana nimepata changu na kusepa, nimesikia hata pale Quality plaza tabia hio nayo ipo sana.
 
Pole,ungempiga picha ili tumjue[emoji15]

Ni kweli mkuu umekumbusha kitu hapa, sasa mwendo ni huo ni kufotoa tu watu wote waone hapa na kuchukua tahadhari
 
Alikuona akikupimia akajua hili ngosha limetoka kanda ya ziwa juzi ndio maana kaja kushangaa mliman city ngoja akupige

Kibaka haswa demu anapima kwanza kabla ya kukufanyia so pamoja na kumkamata lakini alijua we mami tu
 
Mkuu mogulnoise ni kutumia akili tu kaka na sio kila mahala unaweza ukapiga mtu kama alikuwa katumwa na kundi la vibaka je pale nje? wanakugeuzia kibao na kuanza kukubena mpaka unakuja kujitetea tayari upo hoi.
 
Kuna kipindi walikuwa wanakaa kwenye vituo vya daladala vyenye watu wengi anakuja Dada mrembo anaomba usaidie simu yeye ni mgeni ampigie mwenyeji wake yake imeisha chaji,kwa huruma unampa anapiga Simu haipokelewi kumbe lengo ni kupata namba yako,yule Dada anapotea baada ya dk chache anatokea kijana analalamika kaibiwa simu sasa hivi anaimba MTU apige anataja namba yako taratibu inapigwa inalia mfukoni mwako Basi unakula kichapo wanachukua simu yako ukipona unashukuru watu wamekufa kwa wizi huu huruma wakati mwingine inakuponza
 
Back
Top Bottom