Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,192
- 3,353
Kwa wale wote mnaotaka ku-update Android 5.0, a.k.a Lollipo, Nawatahadharisha Mpitie comments za simu zenu ambazo watu wamefanya hizo Update.
Hii Update kwa simu nyingi imebainika inakula betri sana na simu inakaa na chaji kwa muda mfupi mno. So kwa wale wenye KitKat 4.4 Mridhike nazo tu, kama unataka Lollpop pitia koments za Brand ya simu yako kwa wale waliojaribu.