Km hukutaka najadiliano mwanzo uwez kurud kutaka majadiliano nikakusikiliza, lkn km km tulianza vzr mwanzo basi tutamaliza vzr.Sio kweli mkuu,kuna watu kiasili wako too aggressive yani wako short tempered,mfano wa hao ni wakurya na wamaasai.
Asilimia kubwa ninyi ni watu ambao hampendi majadiliano,wachache sana ndio mnakubali majadiliano.
Ubishi pia asili yenu,nina mifano mingi sana ila nikiitoa kwako naona kazi bure maana mkuu fikra zako umezigandisha.Km hukutaka najadiliano mwanzo uwez kurud kutaka majadiliano nikakusikiliza, lkn km km tulianza vzr mwanzo basi tutamaliza vzr.
Hiyo ni hadithiUbishi pia asili yenu,nina mifano mingi sana ila nikiitoa kwako naona kazi bure maana mkuu fikra zako umezigandisha.
Labda nikutolee mfano huu mmoja,Kigamboni kuna mafundi walikua wanajenga kuna mwanadada aliomba asaidiwe kitu na huyo fundi,yule dada ni mke wa hao jamaa zenu wakurya.
Bahati mbaya jamaa akawa anarudi maana ujenzi unapofanyika kwa nyumba ya pili ndio kwake.
Sasa yule jamaa alipomuona mkewe anaongea na yule fundi akatafsiri anamtongoza,jamaa hakutaka kusikiliza alifika mateke ngumi na ugomvi ukawa mkubwa.
Kila jamaa akitulizwa haambiliki,mbaka wazee kumtuliza na kujua chanzo hayo mapigano yote yasingetokea.
Kiufupi mnapenda kutoa reaction pasi na kujua chanzo cha kitu ni nini.
Hii tabia mnayo we kaka kataa jiteteeni ila hii tabia mnayo.
Sababu huwa ni nini?kawaida tu,mbona sema wakurya ni wakali tu na hii ni asili ya makabila yote ya wafugaji!sema kawaida tu
Karibu mara
Ikimaanisha ni nini? 😂😂😂😂😂😂Karibu Kila kijana ndoto yake ni kua Introder.
Nmesoma na mkurya alipomaliza tu alirudi chap kwao kua Introder.
Aiseewatu wa dar es salaam wamefokewa sana humu
DuhSasa uwanja wa ndege wa nini wakati hata flight schedule uijui na unaishi karbu na airport
Nenda kalale mporipori, kesho ukavune mahindiUmejua kuisoma?
Hua unapigia maji sehemu gani mkuu?Tarime kama nyumbani
Me huo ubabe sijawahi kuona
Nakula bia nyingi hapo Tarime na Surprise hadi usiku wa manane ni amani tu
Marafiki zangu akina Mwikabe, Chacha, Mwita oya nakuja tenq
Hii hapa ni kamba ya katani ngoja nikaendelee kupiga skanka, usisahau kusema Tarime bado wanavuta Bange za zamani za kawaida almaarufu km kushabu ambazo DCEA Aretas Lymo anasema zinamlundikano wa kemikali asilimia 15 sio zile za GMO zenye 40% high na ili ujue kiwango cha % hio yote lazima uvute sio upime maabara kwa hio ni mvutaji Namba 1utapewa mashamba bure utalima.
Aisee..as if hapo Dar ni mbinguni?Aisee
Mimi nitoke Dar niende Tarime ?
Hivi kuna uwanja wa ndege huko au ni usafiri wa kujumuika na umati usiojua kuoga sio kwenda mtoni tu??
Dar ni Pepo ndogo Ila kuna vitu vingi vimekosewa tukianza na miundombinu na mipango miji Dar ni Slum Dar ni squatter settlement Dar ni mlundikano wa vijiji na vitongoji vingi ndani ya mji Ila Dar sio Mwanza ingawa kuna maeneo ukifika watu wamejenga jenga kwenye miinuko miinuko sio Mawe utasema upo Mwanza kasoro Ziwa Victoria na SamakiAisee..as if hapo Dar ni mbinguni?
Unakosa mlo wa mchana alafu unasema dar km peponi?Dar ni Pepo ndogo Ila kuna vitu vingi vimekosewa tukianza na miundombinu na mipango miji Dar ni Slum Dar ni squatter settlement Dar ni mlundikano wa vijiji na vitongoji vingi ndani ya mji Ila Dar sio Mwanza ingawa kuna maeneo ukifika watu wamejenga jenga kwenye miinuko miinuko sio Mawe utasema upo Mwanza kasoro Ziwa Victoria na Samaki
Umeandik imla alafu zote hamna pointHii hapa ni kamba ya katani ngoja nikaendelee kupiga skanka, usisahau kusema Tarime bado wanavuta Bange za zamani za kawaida almaarufu km kushabu ambazo DCEA Aretas Lymo anasema zinamlundikano wa kemikali asilimia 15 sio zile za GMO zenye 40% high na ili ujue kiwango cha % hio yote lazima uvute sio upime maabara kwa hio ni mvutaji Namba 1
#kaributule Mura
Njoo PMNimemiss Busara
Kufanya nini mkuu?Njoo PM