Konseli Mkuu Andrew
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 748
- 887
Haya mambo ya kutokuheshimu sheria, kuna siku atatokea kiongozi katika moja wapo ya nchi hapa Afrika atakuja na mawazo ya kuzifanya National Parks yawe mashamba ya mahindi na kuteketeza wanyama waliopo.
Kama tuu sheria zipo za kulinda rasilimali za taifa ila watu wanapeleka miswada(bills) ili tuu waamend na wajiruhusu kuinyofoa kwa gear ya uwekezaji.
Issue sio katiba mpya, bali wakati wa vetting ya kumpata kiongozi basi idara husika ziwe makini mno katika kupick cream zisizo na dosari yoyote, isije wakachagua mtu ambae anawekwa na kikundi cha wachache wenye interest zao na sio za kitaifa.
Nchi masikini Afrika sababu kuu ni wa Afrika wenyewe, wapo baadhi ya wazawa wanazunguka dunia nzima ili tuu nchi zao ziendelee kuwa masikini kwa mana zikitajilika tuu basi wao hawatakuwa na mwendelezo wakujipatia miraji ya pesa.
Kuna muda huwa nawaza kuwa yawezekana hata hii mikopo sijui wanasema inatoka WB ,IMF, AFDB EUROPEAN UNION inawezekana ni pesa za wazawa wenzetu hapa hapa Afrika wanatukopesha kwa mwamvuli wa hayo mashirika na mwisho wa mwaka wanajipa kipaumbele kwenye kujilipa.
ANDREW L.O, Managing Director, Founder &ChairMan of SANCRIFF INVESTMENT LIMITED (T)