Elections 2010 TAHADHARI: Serikali ya Kikwete inacheza na Imani za watu?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
WanaJF inabidi tukae tayari tujiandae nchi hii haitakuwa salama siku za mbeleni

Taasisi za kidini enzi za mwalimu zimekuwa kimya zikifanya mambo yake lakini baada ya kuingia utawala wa JK mambo yamekuwa tofauti. Mwaka 2005 Jk aliwalaghai waisalam kuwa ataanzisha mahakama ya Kadhi sasa hivi anakuja anasema hii kaiondoa kwenye Irani ya chama.

Serikali ya JK inafanya vibaya kuchanganya DINI na SIASA hii itasababisha vita siku za mbeleni.

JK kama huwezi kutekeleza unayosema kaa kimya nyoyo za watu zina HASIRA NA WEWE.

Je waisalamu wakiamua kupambana na Serikali nchi hii inaelekea wapi??

Kwanini JK anachezea imani za watu??
 
ndio hivyo akome kabisa ulaghai wake katika kupata madaraka kwa hila
 
Ni hatari kubwa,mtu akifilisika fikra kichwani atapenda kupata madaraka kwa ukabila au udini au rangi.na kiongozi akipata madaraka kwa mkondo huu basi ajue anaandaa maangamizo mbele ya safari.
 
Tutegemee mengi zaidi ya haya ,si motto wao ni USHINDI NI LAZIMA! so watafanya everything humanly and none humanly possible to win this election!
 
ukweli ni kwamba CCM ingetakiwa kufutwa kwa kukiuka sheria ya vyama vya siasa. sheria inakataza vyama vyenye itikadi(advocate for) za kidini na kikabila...kwa ilani ya chama kuwa na kadhi ndani yake chama kingetakiwa kufutwa mara moja....
 
Simnamfahamu Prezidaa wetu ni Mzee wa fix safari hii atakuja na gia nyingine kwa Wakristu. Mtaaluma yule
 
hapo hakuwalaghai pengine alikuwa anawapima uelewa,
we ilikuingia akilini hiyo? yaani sawa na leo CCM iseme
itahakikisha kuwa wachungaji na mapadri kulipwa mishahara na serikali
eti nao wajue ni kweli, haiwezekani ati, hapo labda uniambie kuwa aliwatumia
kama ngazi ya kujipatia kura nyingi toka kwao, kwa kuwahidi jambo ambalo linawagusa

hapo ni sawa watanzania walivyoahidiwa maisha bora kwa kila mtanzania nao wakapiga
makofi na kushangilia, kwani kuna mmoja aliwahi kujiuliza kuwa vipi haya yatakujaje?
ama kwa mikakati gani? wote wakashangilia tu na kukipa ushindi wa kishindo CCM
chama ambacho kimepitwa na wakati na sera zake.
 
Ni hatari kubwa,mtu akifilisika fikra kichwani atapenda kupata madaraka kwa ukabila au udini au rangi.na kiongozi akipata madaraka kwa mkondo huu basi ajue anaandaa maangamizo mbele ya safari.

Mimi naona JK kaishiwa fikri kichwani hapa anatalete maafa kwa taifa

katika fix zote na stahili za kilaghai za JK..hii ni mbaya kuliko na ataangukia pua soon

Sijui kama wazaidizi wake hawamsadii katika hili

Tutegemee mengi zaidi ya haya ,si motto wao ni USHINDI NI LAZIMA! so watafanya everything humanly and none humanly possible to win this election!

Kama wanafanya hivyo kwaajiri ya ushidi watasababisha maafa makubwa vita visivyoisha Mungu Atuepushe mambo haya
 
Ni rahisi tu. Kama wanaona waliletewa issue za danganya toto, basi mwaka huu wasiipigie kura CCM, wapigie Chama kingine au wasipige kabisa...easy! Lakini wengi wa hao njaa mbele. kanga, viposho, misosi itawaweka sawa...inshalah.
 
Huu ni MSIBA mungu atuepushe.......kuna watu wao kazi yao ni kuuza SILAHA na kama hakuna vita then biashara haindi sawia...so watu kama hawa watatumia anay influence kuchochoe watu....sijui JK halijui hili????? As said soon yatamtokea puani ikishindikana puani hata uani......Lakini swali linabaki why KINASHINDA?????
 
Acheni kumpakazia. Kwani ilani ya uchaguzi ya mwaka 2005 aliiandika yeye? Halafu hili jambo lilijadiliwa bungeni na likaonekana lina utata, sasa nyie mnachotafuta tena hapa ni nini kama si ugomvi usiokuwa na msingi?
 
lakini kwa hili kushindikana ni sawa, labda ni kwa wale maamuma tu ndiyo wangeamini kufanyiwa hiki kitu,
upande mwingine mbali na hili tangu lini CCM ikatimiza ilani zake? ilani inayotimizwa daima ni ya wana CCM kugawana sector za kujitengenezea pesa kulingana na tittle yako,
 
Hii ni kawaida ya marais waislamu kuwa na ISLAMIC AGENDA vichwani mwao wanapoingia madarakani! Mzee Ruksa aliingia tu stop ya kwanza ni kuhusu OIC, tena kinyemela bila Bunge kujulishwa! Walimshtukia dakika za mwisho. Mzee Komandoo kule Visiwani, bila kujali Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasemaje akaiingiza Zanzibar OIC, walipomshtukia akaiondoa! JK wetu kaingia na Mahakama ya Kadhi, alipoulizwa karuka mita 100 kwamba ilani hakuandaa yeye! Hawa watu kama wanataka kuwa viongozi wa Waislamu si waende misikitini moja kwa moja, badala ya kuhadaa wananchi na kuwachanganya hatimaye kuchafua amani ya Tanzania ijayo?
 
hapo hakuwalaghai pengine alikuwa anawapima uelewa,
we ilikuingia akilini hiyo? yaani sawa na leo CCM iseme
itahakikisha kuwa wachungaji na mapadri kulipwa mishahara na serikali
eti nao wajue ni kweli, haiwezekani ati, hapo labda uniambie kuwa aliwatumia
kama ngazi ya kujipatia kura nyingi toka kwao, kwa kuwahidi jambo ambalo linawagusa

hapo ni sawa watanzania walivyoahidiwa maisha bora kwa kila mtanzania nao wakapiga
makofi na kushangilia, kwani kuna mmoja aliwahi kujiuliza kuwa vipi haya yatakujaje?
ama kwa mikakati gani? wote wakashangilia tu na kukipa ushindi wa kishindo CCM
chama ambacho kimepitwa na wakati na sera zake.
Hapo umesema kweli, za kupewa changanya na za kwako. kumbuka walipoulizwa mbona mlisema kuwa mtaanzisha mahakama ya kadhi, walijibu kuwa tulisema 'lipatiwa ufumbuzi na ufumbuzi ni kulipeleka serikalini'. Sijui serikali ipi maana wao ndo waliounda serikali hiyo. Walipoulizwa 'mbona mlisema mtaleta maisha bora kwa kila Mtanzania', walijibu; 'Yanapatikana kwa kufanya kazi'.

Watanzania walishayasahau hayo yote. Wakipewa kanga na vitenge leo, baada ya miaka mitano watakuwa wamesharudisha gharama yote na zaidi ya hayo. Maskini Watanzania, kumbe ndo mtaji mzuri. Siasa sasa ni biashara inayolipa na haina 'risk' kubwa. Poleni watz.
 
Hii ni kawaida ya marais waislamu kuwa na ISLAMIC AGENDA vichwani mwao wanapoingia madarakani! Mzee Ruksa aliingia tu stop ya kwanza ni kuhusu OIC, tena kinyemela bila Bunge kujulishwa! Walimshtukia dakika za mwisho. Mzee Komandoo kule Visiwani, bila kujali Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasemaje akaiingiza Zanzibar OIC, walipomshtukia akaiondoa! JK wetu kaingia na Mahakama ya Kadhi, alipoulizwa karuka mita 100 kwamba ilani hakuandaa yeye! Hawa watu kama wanataka kuwa viongozi wa Waislamu si waende misikitini moja kwa moja, badala ya kuhadaa wananchi na kuwachanganya hatimaye kuchafua amani ya Tanzania ijayo?

Ndo tatizo la kuchagua Marais wenye uwelewa mdogo kama JK
 
anaahirisha suala hili kwa muda tu JK anachezea akili za wakristo baada ya kumchagua tu ataanzisha mchakato wa kuanzisha hiyo mahakama HARAMU ya waislamu na sio lazima iwe kwenye ilani....kuiondoa anawapumbaza wakristo tu....tuweni makini huu ni mchezo mchafu wa siasa....................Kuna tetesi kuwa hivi punde.....ATAKAA NA WAZEE WA KIISLAMU ATAWAPA MIKAKATI NA ATAWAELEZA KWA NINI KAFANYA HIVYO ATAKUNYWA NAO GHAHAWA NA KUCHEZA BAO KIDOGO alafu atawaagiza hao wazee wa mila za uislamu wawashushe presha waumini wao na kuwaeleza nia yake njema ya namna atakavyo tumia mamlaka yake kuchomeka....
HAYA MANENO NILIYOYAANDIKA MTAYAKUMBUKA
 
Kama anategemea kufanya hivyo ajue kuwa siku zake zinakaribia UMMA atampeleka Jela kabla ya VITA YA KIDINI HAIJAANZA
 
anaahirisha suala hili kwa muda tu JK anachezea akili za wakristo baada ya kumchagua tu ataanzisha mchakato wa kuanzisha hiyo mahakama HARAMU ya waislamu na sio lazima iwe kwenye ilani....kuiondoa anawapumbaza wakristo tu....tuweni makini huu ni mchezo mchafu wa siasa....................Kuna tetesi kuwa hivi punde.....ATAKAA NA WAZEE WA KIISLAMU ATAWAPA MIKAKATI NA ATAWAELEZA KWA NINI KAFANYA HIVYO ATAKUNYWA NAO GHAHAWA NA KUCHEZA BAO KIDOGO alafu atawaagiza hao wazee wa mila za uislamu wawashushe presha waumini wao na kuwaeleza nia yake njema ya namna atakavyo tumia mamlaka yake kuchomeka....
HAYA MANENO NILIYOYAANDIKA MTAYAKUMBUKA

Weee! acha kabisa.....JK hawezi gusa huko kwenye awamu yake ya pili. Msanii tu huyu, akimaliza awamu yake ya pili atatimukia zake kwa akina BOYS II MEN...kuku kwa sana. Nani kakuambia JK muislamu? Kazailiwa tu uislamuni....lakini si muislamu.
 
Back
Top Bottom