TAHADHARI: PICHA za Mkutano wa CUF Arusha zimechakachuliwa

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
Wakuu Hapa mkutano ulipo hakuna gorofa hata moja na ni stendi yenye miti hizo picha za mjengwa ni za uongo
 
tunaomba utupe za ukweli mkuu kama unazozilalamikia hizo nyingine kuwa zimechakachuliwa.
 
Usijali tumeshajua na aliye chakachua anajijua kabisa anadhani hatuijui Arusha.
 
Mkuu niko na china nitazituma baadae. Ila Hapa tulipo hakuna hata nyumba ya gorofa moja
 
Picha sio za kweli kule mjengwa mbumbumbu.
Nipo hapa kwenye mkutano life,wait a bit utapata picha
 
Mkuu mjengwa hajasema hizo picha ni za leo! kichwa chake kasema "CUF kuifunika Arusha Leo" na picha hizo zipo toka asubuhi kaweka kama reference ya mikutano ya Ngangari sehemu nyingine, nadhani wanachama wa CUF ndio wanatumia hizo picha kupotosha au labda mjengwa ni "mwana" CUF.

Mikutano ya CUF
 
Maskini cuf, sasa wanajidinganya wenyewe ili wapate faida gani jamani??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hebu linganisheni picha hizi!

cuf-crowd.jpg

24th August 2010 - Umati wa watu uliomsindikiza Pr. Lipumba kuchukua fomu za kugombea Uraisi kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 mjini Dar es Salaam - Picha na Edwin Mjwahuzi wa the Citizen.

30th September 2012, CUF yaifunika Arusha - Mjengwa blog

Ningekuwa mod wa JF, mtu aliyeleta picha hii kuwa ni mkutano wa CUF Arusha ningempa ban yeye na ukoo wake wote!
 
Sasa baada ya uongo huu cuf wanapata faida gani?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Sasa baada ya uongo huu cuf wanapata faida gani?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Wana JF Mabango unayoyaona hapo ni ya wakati vodacom inazindua huduma ya kupiga simu tsh 1 kwa sekunde jijini dar eneo hilo ni Mtaa wa Ohio,Vodacom walikwisha badilisha rangi kutoka blue kwenda Red labda kama aliyepost hizi picha atwambie vipi kuhusu matumizi ya rangi ya blu kwa sasa
 
Daah nililiuliza hili swali kuwa hizi picha ni za arusha kweli katika ile post, daahaaa sasa mjengwa naye sijui vipi.. Angeweka maelezo ya kutosha kama mdau alivyofanya kuwa picha fulani ni ya lini, tena kuna wana cuf nadhani wamezishabikia sana hizo picha kuwa i za arusha leo... Loh cuf kwaherii......
 
Back
Top Bottom