TAHADHARI: PICHA za Mkutano wa CUF Arusha zimechakachuliwa

CUF kwenda Arusha ni sawa na mwanaume kuingia choo cha kike wamechamka, wamepoteza bure fedha za CCM walizopewa kwa kazi hiyo.
 
Wakuu Hapa mkutano ulipo hakuna gorofa hata moja na ni stendi yenye miti hizo picha za mjengwa ni za uongo
maggid anatumika vibaya, ama aliye upload picha kwenye blog yake ndo anamwangusha
 
Last edited by a moderator:
Sasa baada ya uongo huu cuf wanapata faida gani?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mimi ni mwana mageuzi lakini nawashangaa sana hawa jamaa (CUF) kwani wameshindwa kabisa kuziacha mbinu zao za kijinga ambazo mara kadhaa zilizowaletea madhara makubwa kama zile za kusomba watu na mafuso toka sehemu zilizo mbali na maeneo ya mikutano kama wanavyofanya siku hizi (CCM) na kuwapiga picha za kupamba vyombo vya habari but when it comes to reality wanaangukia pua kama kule Iginga na katika chaguzi kuu. Ni mbinu za kijinga kabisa.
 
Hebu linganisheni picha hizi!

cuf-crowd.jpg

24th August 2010 - Umati wa watu uliomsindikiza Pr. Lipumba kuchukua fomu za kugombea Uraisi kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 mjini Dar es Salaam - Picha na Edwin Mjwahuzi wa the Citizen.

30th September 2012, CUF yaifunika Arusha - Mjengwa blog

Ningekuwa mod wa JF, mtu aliyeleta picha hii kuwa ni mkutano wa CUF Arusha ningempa ban yeye na ukoo wake wote!

Hii ni aibu kwa CUF wenyewe, ambao kwa sasa wamekuwa copy & paste ya Chadema kwa kila kilichobuniwa nacho. Hawa jamaa wa CUF huwa nawashangaa sana wanapotoa kashfa na dharau kwa viongozi wa Chadema.
Haya CUF mkajipange upya acheni haya mambo ya ujanja ujanja yatazidi kuwashusha na kukiua chama na kuwafanya CCM watimize malengo yao, walipowazuga hadi mkakubali muunde serikali ya umoja wa Kitaifa kule Z'bar.
 
Wakuu Hapa mkutano ulipo hakuna gorofa hata moja na ni stendi yenye miti hizo picha za mjengwa ni za uongo

hamkuoma vizuri blog ya Mjengwa, alisema "Mikutano ya CUF", kichwa cha habari kilisema, "CUF kuifunika Arusha leo". kwa hiyo msizodoe mkubwa mwenzenu, hajafanya mnayosema
 
Mama mayeeeeeee! Wachaga subiri 2015 Ubungo bus Terminal mtapaona mbali, sanduku la Kura za NEC kule Hanang pamoja na Mary Nagu leo wamemtafsiria Sumaye ile kauli ya UV ccm pwani
 
Kwa taarifa zilizosambazwa na baadhi ya watu Majidd Mjengwa ni SSM kwa hiyo ni lazima ashabikie CUF!!! Kwa kuweka anything positive kwa CUF hata kama si kweli!!!
 
Aliye leta uongo huu anajulikana ni member anaye leta habari za magazetini lakini leo kahamua kuwa muongo sijui uongo unamsaidia nini?
Sasa baada ya uongo huu cuf wanapata faida gani?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hueleweki kabisa naona unataja wachagga tuu!
Mama mayeeeeeee! Wachaga subiri 2015 Ubungo bus Terminal mtapaona mbali, sanduku la Kura za NEC kule Hanang pamoja na Mary Nagu leo wamemtafsiria Sumaye ile kauli ya UV ccm pwani
 
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe akiwahutubia wananchi na wanachama wa chama hicho waliohudhuria katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana Karatu mjini Mkoani Arusha.
AMEZUNGUMZIA MAMBO MAKUU MATATU

1.Taarifa ya Kamati ya Ngwilizi(Kutaka taarifa iwekwe Wazi)
2.Hoja ya mabilioni yaliyofichwa Uswisi na
3.Ulazima wa kuindoa CCM madarakani mwaka 2015 ili CHADEMA iongoze nchi na ktutokomeza umaskini kwa kupambana na ufisai na kukuza uchumi wa vijijini.

KWENYE MKUTANO HUO,MH:ZITTO KABWE ALIMABATANA NA WABUNGE WENGINE
TUNDU LISSU
JOSHUA NASSARI
ROSE KAMILI
 
Hebu linganisheni picha hizi!

cuf-crowd.jpg

24th August 2010 - Umati wa watu uliomsindikiza Pr. Lipumba kuchukua fomu za kugombea Uraisi kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 mjini Dar es Salaam - Picha na Edwin Mjwahuzi wa the Citizen.

30th September 2012, CUF yaifunika Arusha - Mjengwa blog

Ningekuwa mod wa JF, mtu aliyeleta picha hii kuwa ni mkutano wa CUF Arusha ningempa ban yeye na ukoo wake wote!
Sitaki yaamini ninayoyaona, Mjengwa kachemka haki kama ni kweli!!!
 
mkuu mjengwa hajasema hizo picha ni za leo! Kichwa chake kasema "cuf kuifunika arusha leo" na picha hizo zipo toka asubuhi kaweka kama reference ya mikutano ya ngangari sehemu nyingine, nadhani wanachama wa cuf ndio wanatumia hizo picha kupotosha au labda mjengwa ni "mwana" cuf.

mikutano ya cuf

picha ya juu ni uwanja wa ndege wa dar wakati wa kupokea lipumba na picha ya 2 ni jangwani kwenye mkutano wa cuf waliowavalishwa wana ccmafisi mavazi ya cuf
 
chama cha kiislam! nakumbu pale jangwani waliamasisha waislamu wote kujiunga cuf!....pia nakumbuka muadhara wa kidini pale dodoma uliamasisha waislam wote kuijiunga cuf je wakristu hawatakiwi? je wakristu nao wakifanya hyo matokeo yake itakuwa nini?................
 
mkuu asante kwa taarifa.Mjenwa ameanza kupotosha wapenzi wa blog wake.Nilipoona zile picha nilifikiri ni kweli.kumbe ni zile za jangwani.
 
Back
Top Bottom