inasikitisha sana utakuta alikuwa anaiba kuku au simu ya tochi ndio imegharimu maisha yake... Serikali ijitahidi kuboresha hii hali ili sisi wazazi tumudu kulea na kusomesha hawa vijana la sivyo haya majanga yatamaliza vijana wetu.
Inasikitisha sana, ila wananchi nao wako frustrated na maisha ndiyo maana wanatenda haya wanayoyatenda! Watu wamechoka kuishi kwa kuwa yale maisha bora kwa kila mtanzania yamegeuka misimba ya maisha. 80% ya Watanzania wamekata tamaa ila nashangaa ni kwa nini asilimia hii isibadilishe madaraka na uongozi Tanzania. Imetosha.
Duuuh!!!
Watanzania kwa kujishughulisha na mambo yasiyo na faida kubwa hatujambo sana!!
Sasa kwanini wasimkamate .........siku akienda huko Masasi, wamuulize Pesa yetu ya EPA iko wapi.
asipotoa majibu wamafanye kama walivyomfanya huyu jamaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.