Tahadhari picha inatisha!!!Mwizi apigwa nakupasuliwa kichwa Masasi!!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
mwz.jpg
Mwizi leo kapigwa na kupasuliwa kichwa Leo Masasi.
 
inasikitisha sana utakuta alikuwa anaiba kuku au simu ya tochi ndio imegharimu maisha yake... Serikali ijitahidi kuboresha hii hali ili sisi wazazi tumudu kulea na kusomesha hawa vijana la sivyo haya majanga yatamaliza vijana wetu.
 
Inasikitisha sana, ila wananchi nao wako frustrated na maisha ndiyo maana wanatenda haya wanayoyatenda! Watu wamechoka kuishi kwa kuwa yale maisha bora kwa kila mtanzania yamegeuka misimba ya maisha. 80% ya Watanzania wamekata tamaa ila nashangaa ni kwa nini asilimia hii isibadilishe madaraka na uongozi Tanzania. Imetosha.
 
Duuuh!!!
Watanzania kwa kujishughulisha na mambo yasiyo na faida kubwa hatujambo sana!!

Sasa kwanini wasimkamate .........siku akienda huko Masasi, wamuulize Pesa yetu ya EPA iko wapi.
asipotoa majibu wamafanye kama walivyomfanya huyu jamaa.

Lets do the things that matter.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom