Tito ni mkristo usidanganye watu na anahubiri kupitia bibilia. Je vazi la kanzu ndio uislamu? Naona hata Papa ana kanzu na kiuaTito hana impact yoyote kwa ukristu inafahamika wazi kua ni chizi na shoga mzoefu so automatically hana element zozote za ukristu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooooo !!!
Kama kitimoto, kuku Wa nyama walipewa vidonge vya ARV kuwanenepesha watashindwa vipi kuweka Viagra.lazima wanachemsha na viagra kwenye huo mchanganyiko
Pesa ndo dawa ya nguvu za kiume tafuta Pesa achana na matakataka mwnginePole yao
Katika kutatua matatizo ya wanadamu wengi wako bize kutibu bila kutafuta chanzo cha tatizo
Kwa mfano nguvu za kiume huwa hazitibiwi na hizo wanazo ita dawa ila zinatibiwa kwa kujua kwanin huna nguvu hizo
endeleeni kunywa sasa.Kama kitimoto,kuku Wa nyama walipewa vidonge vya ARV kuwanenepesha watashindwa vipi kuweka Viagra.
Kama pesa muulize stamina alikosa niniPesa ndo dawa ya nguvu za kiume tafuta Pesa achana na matakataka mwngine
Kumbe ni kinywaji cha wachacheMasikini wanakula kila kinachokuja mbele yao , sijawahi kuona huo uchafu maeneo yaliyostaarabika , zaidi naona huku Tandika na Mbagala .
Sijawahi kuinywa tajaribu,endeleeni kunywa sasa.