TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

Haaa haaa....eti taahira[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Unaweza kuwa na Mahusiano na mwanaume mpaka ukajiuliza hivi huyu hata anajua nini maana ya mwanamke?

Wanaume wengine vituko kweli, haijakupata peke yako!
Hahahaha yaan we acha tu.
 
anaijua ofkoz yani leo home patachimbika lakini bora nimetoa la moyoni
Ayanda sasa haya yote unayotueleza si ingekuwa bora ukamueleza mhusika. Ili muyajenge?!!
Je,umeshawahi kujifanyia self assessment na kujua wewe kama wewe una mchango gani ktk mtifuano huu? Je,una amini matatizo ktk mahusiano yoyote yana changiwa na nyote wawili?!!
Kitu kingine kuhusu kipigo,nimegundua wewe unapungukiwa busara kidogo. Na hii nimeiona jinsi unavyojibu comments za kuudhi toka kwa members. Siamini kama kuna mwanamume anaweza kunyanyua mkono wake akampiga mwanamke mkimya. Ukimya nao ni akili.
 
Aisee kwa maelezo yako kama Ndo uko hivo ww ni mke Bora ila umepata Mume mpumbavu kama yule mume wa Abigaeli kwenye Biblia. Ila dada Kukosea ni kawaida usijute. Huyu mtu angalia kuhusu kuachana nae kwa kipindi hiki kigumu kama itawezekana hasa kipindi cha mimba kama itawezekana mwache tu shenzitype yake. Kama haiwezekani vumulia hadi wakati mwafaka ufike ila usitoe hela yako tena. Kuhusu Papuchi kupigwa mara tatu mwambie apunguze iwe mara moja usiku maana na ww unachoka eti. Pia asiingize kwa nguvu jamani maana unaumia na hata ikibidi awe anasikiliza hisia zako pia au aziamshe kama hazijaamka. Kuhusu upweke Ukitoka kwake hao watoto wanatosha kutoa upweke. La mwisho ila sio kwa umuhimu Tafuta Cherehani Mbili ili uanzishe kiwanda. Hapa kazi tu
 
Back
Top Bottom