TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

Duh! Pole sana huyu si wa kuishi naye. Akiendelea kukupiga mimba inaweza kutoka au hata kukuua. Ungekuwa umeshahama kwake ningekwambia muanike hadharani ili kuwaepusha wengine na huyu mlevi asiyejitambua. Mungu akupe nini tena kupata mwanamke kama wewe. Jitahidi uhame haraka kabla hajakudhuru huyu mshenzi. Pole sana.

Salaam zenu bandugu.. Naandika uzi huu ili angalau nipunguze msongo wa mawazo maana naweza kupasuka kichwa...

Mimi ni mdada nina kazi yangu nzuri tu Alhamdulihah na niko na watoto wawili (usiiulize baba yao alipo hayakuhusu) mnamo mwaka jana 2016 mwezi wa tisa hivi nilipata mkaka humuhumu JF aliyekua anatafuta mwanamke.

Tukapanga tukaonana na kwa mujibu wake akanipenda na mimi nikaona si mbaya nikaridhia mawasiliano yakawa makubwa tu. Huyu mkaka aliachana na mkewe wa ndoa ingawa bado si rasmi legally.

Ana 2 watoto na mmoja anaishi nae mwingine yupo kwa mama yake. Akanisisitiza mno nihamie kwake na wanangu ili tuishi pamoja na kusaidiana life.

Nikaona ni jambo jema maana sikua na nyumba sababu bado najikongoja mno kwenye ujenzi... Nikahamia na wanangu na watoto walimpenda kweli yani maisha yalikua murua kwakweli.

At that time, nilikua na vihela vyangu kidogo nikamsaidia kulipa ada ya wanae ya term ya kwanza takriban laki saba unusu. Na yeye nikamsaidia kumlipia ada ya open university asome Law maana alikua hapendi degree yake aliyonayo nikamlipia semester ya kwanza laki 4 na sabini.

Akaanza chuo na amefaulu first year na anatakiwa awe second year mwaka huu. Matumizi ya ndani tunashare ananipa mshahara wake ingawa mdogo lakini nina hulka ya kushukuru.

Tatizo kubwa ni kunisimanga kuhusu nyumba yake yani its too much, na pia mtoto wake hata nimpemdaje haoni anadai nambagua yani kiukweli huyu mtoto age 14 simbagui, kila nacholeta nagawa mara 3 sijawahi kumkaripia wala kumpiga wala kumgusa.

Hata yeye mtoto hana shida na mimi tatizo ni baba yake. Jana nilienda nao saluni ili mwanangu anyoe, sasa ikawa bonge la bifu eti why na yeye wa kwake sijamnyoa. Kiukweli hakua na nywele mbaya.

Akarudi jioni amelewa na kunipiga juu huku akidai mkewe alikua better kwamba ameruka mkojo amekanyaga mavi na kama vipi nihame chumba nikalale na watoto.

Huyu anataka sex mara 3 kwa siku. Usiku mara 2 na asubuhi ya saa 12 mara moja hadi huwa nachelewa job. Yani sex yenyewe haoimbi, ananivuta tu, "lete **** " anaingiza kwa lazima. Yani sex ni daily.

Akishalewa ni kunitukana kuniita ****** na mpuuzi. Jamani huyu mtu nimetoka kuchukua loan ya laki 4 kumlipia mwanae anayesema nambagua.......

Kiukweli kama ni kuingizwa chaka basi mimi ni chaka bovu. Hapa nilipo nina mimba ya miezi 3 na kwakweli moyoni nimeshamkinia....mungu anitangulie kwenye mipango yangu ya kujikomboa kutoka kwenye huu utumwa.

Tuna mwaka mmoja na miezi kama miwili tangu tuanze mahusiano last year......

Jamani kina dada na kina kaka pia msikurupuke kwenye haya mambo! Go slowly, mimi nilikurupuka sababu ya upweke niliokua nao kipindi hicho.
 
Huyu anataka sex mara 3 kwa siku. Usiku mara 2 na asubuhi ya saa 12 mara moja hadi huwa nachelewa job. Yani sex yenyewe haoimbi, ananivuta tu, "lete **** " anaingiza kwa lazima. Yani sex ni daily.
Huyu ndiyo mzuri. Hana upungufu wa nguvu za kiume. Jiongeze uendane naye. Ukipenda kuolewa penda na kutiwa pia.
 
Kama ni kweli ,hii ni hatari. Jamaa kama yupo humu atakuwa anasoma maoni ya watu kama anaangalia movie ya kutisha chumbani.
 
Hadi hapa sijatoa ushauri wowote.
Nimejikuta ninatamani kusikia upande wapili wa shilingi....[emoji101]
 
I wish....
Natafuta mwanamke mkarimu kwa style yako nakosa.....!
Pole bibie...
 
We ndo umenena

Na umdhaniye sie kumbe ndie
Yaan dah kuna mtu bhana nikajuaga hapa si ndio penyewe kumbe hola, hlf muda huo kulikuwa na mkaka mwingine ananifatilia mbaya ila nikawa sina imani nae. Bwana wee kumbe huyu niliekuwa namchukulia poa ndio muoaji kbs na anajali kuliko maelezo.
Nilijuta sana kupoteza muda wangu kwa lile tahira.
 
Kwa hyo ndo umeamua kuja kunianika humu? My wife was better than you ,,, dawa yako ipo jikoni inachemka
 
Yaan dah kuna mtu bhana nikajuaga hapa si ndio penyewe kumbe hola, hlf muda huo kulikuwa na mkaka mwingine ananifatilia mbaya ila nikawa sina imani nae. Bwana wee kumbe huyu niliekuwa namchukulia poa ndio muoaji kbs na anajali kuliko maelezo.
Nilijuta sana kupoteza muda wangu kwa lile tahira.
Haaa haaa....eti taahira[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Unaweza kuwa na Mahusiano na mwanaume mpaka ukajiuliza hivi huyu hata anajua nini maana ya mwanamke?

Wanaume wengine vituko kweli, haijakupata peke yako!
 
Back
Top Bottom