TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

Hakuna aliyekamilika, usijilaumu songa mbele, shida sio mwanaume katokea jf, kuna wengine nje ya jf ni wabaya zaidi.
 
Dah Dada elewa Lengo LA. .MTu kuoa au kuolewa si Kusaidiana maisha,
Lengo ni kupiga Kazi Tu????????
Pia elewa Dada hakuna sehemu maalumu ya kukutana na mwenza bora.hapo ni Game of chance tu mdada.
Huyo jamaa alitaka kupata slop sasa Kagundua Mlima.

Ndo maana Vituko haviishi

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Dah...itakuwa mi mba tu hiyo ndiyo inawazingua....subiri ujifungue kisha uturejesheee[emoji13] [emoji87] [emoji15]
 
Sinaga hamu na wanawake wa humu jf. Wanaume wenye nia ya kuoa na tunaojitambua mnatubania weee eti kisa tumeamua kuwaweka wazi life status zetu, mkome! Mmeshakalili watu wenye degree ndiyo wanaoweza maisha.
Najuta kuvujisha real ID zangu humu jf kwa mambo hayo.
 
Dada umeeleza kwa uchungu saana hadi huruma, kwenye mahusiano iko ivi huyo bwana ako angetangulia kuleta uzi hapa akajaribu kueleza mapunguf yako raia wa JF pia wengi tu wange mshauri aachane na ww hata kesho,...bt ww umeanza na umetoa mapunguf ya mwenzio it's fine, nn cha kufanya then angalia moyo wako juu yake, angalia future yako na hiyo hali yako, angalia future ya watoto wako alaf njoo na jibu sahihi kichwan mwako, msome pia yeye psychology yake kwann yupo ivo now, je upendo umeisha, je amepata kimada kingne, je anajua unampenda saana that is why? Ukishafaham vzr utalea mimba vzr mpka utajifungua vzr na watoto watakuwa happy....usiwaze kukimbia na mzgo. Just remember to run away from the problem is not the most best way to overcome it.
 
Back
Top Bottom