TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

Ata sijui.sijui ndo wanasema ndo ukubwa
Ila umeshanichanganya na hiyo avatar yako.njoo pm nikuambie kitu kizuri
Ziiiiii....kumbe nawe nakuona wa maana una mapoint! Kumbe chengaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Apparently hata kuvunjika kwa ndoa yake pamoja na allegations nyingi alizotoa ex wife wake lakini na yeye pia anadai kikubwa ni kuhusu huyu huyu mtoto wake kwamba ex wife alikua hampendi na alikua anambagua kiasi kwamba mtoto akakimbilia kwa babu yake. Kitu nilichokuja kugundua ni kwamba hata huko nyuma alikua napenda kuwasiliana na mwanae bila kupitia kwa wife kwahiyo mkewe pia alichoka na story za "baba kasema hivi, baba kasema vile" .
Khaaah!! Hilo ni garasa uliokota, we mkewe kamkimbia unadhani we malaika utamuweza!!!
 
Hata wanaume hebu msitutwike mabaya tu, sio nyie mnasemaga ooh nimemsomesha, mara nimemfanyia moja,mbili tatu........
Afu nahisi nimemuelewa kwa nini alisema vile. Anashangaa pamoja na kufanya yote hayo aliyoyataja, inakuwaje mtu bado anasema unambagua mwanae
 
Afu nahisi nimemuelewa kwa nini alisema vile. Anashangaa pamoja na kufanya yote hayo aliyoyataja, inakuwaje mtu bado anasema unambagua mwanae
Si ndio hapo sasa, mambo mengine huwa tunaongea tu kinadharia ila kiuhalisia hakuna anayefanya jambo kwa mtu then asiseme, anaweza akalisema kama somo, masikitiko, kulaumu,mfano nk lkn kalisema.

Hivyo sioni ubaya hapo.
 
Khaaah!! Hilo ni garasa uliokota, we mkewe kamkimbia unadhani we malaika utamuweza!!!
Nahisi mwanaume ana tatizo moja, kwenye kuziba pengo la mama mzazi kwenye maisha ya mtoto wake, ndo anajikuta anakuwa "over protective" na mtoto wake. That's very wrong
 
Back
Top Bottom