TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

Ukijamba kwa hasira utanyea bure! Kakojoe ulale mshamba weeh..
Maneno yako yamekosa busara!
Kuna wanawake kibao ambao hawajazaa... Kama huwathamini waliozalishwa kuwa na ustaarabu wa kubaki nayo moyoni na sio kuandika shombo zako! Hujui ni kiasi gani unawaumiza. You are a cyber-bully! Shame on you

Nshakojoa nipo kitandani natafuta usingizi!
 
Upweke huu....pole mamii, jiondokee uepushe huo msongamano, mwisho ufukuzwe kazi kisa sex ya asbh....akwendeee huko
 
Maneno yako yamekosa busara!
Kuna wanawake kibao ambao hawajazaa... Kama huwathamini waliozalishwa kuwa na ustaarabu wa kubaki nayo moyoni na sio kuandika shombo zako! Hujui ni kiasi gani unawaumiza. You are a cyber-bully! Shame on you

Nshakojoa nipo kitandani natafuta usingizi!
Nyonyesha mwanao ulale..! Mnaudhi kupenda mteremko badala ya kufanyakazi au kupunguza tamaa...! Mtazalishwa mno uzuri mbegu zetu haziishi ukipenda,pesa bila kufanya kazi ndiyo matokeo.

No free money..!
 
I PITY YOUR IGNORANT BRAIN

Sababu nakukosoa upuuzi wako unadhani nina mtoto? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio kila mmoja ana akili za kiubaguzi kama zako......
 
I PITY YOUR IGNORANT BRAIN

Sababu nakukosoa upuuzi wako unadhani nina mtoto? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio kila mmoja ana akili za kiubaguzi kama zako......
Wewe ni kapuuzi kama kapuuzi kama mwanzo na mwisho..! Hivi tamaa na umalaya wenu ndiyo tuwape attention..?? Shenzi type no sympathy for stupidest girl like you and others of yr type.
 
Wewe ni kapuuzi kama kapuuzi kama mwanzo na mwisho..! Hivi tamaa na umalaya wenu ndiyo tuwape attention..?? Shenzi type no sympathy for stupidest girl like you and others of yr type.
Cheki unavyotapatapa! [emoji23][emoji23][emoji23]
Usinichoshe... Ujumbe ushaupata!

Good night sir!
 
Cheki unavyotapatapa! [emoji23][emoji23][emoji23]
Usinichoshe... Ujumbe ushaupata!

Good night sir!
I'm not yr sir nyau weehh..! Eti nimepata ujumbe upi sasa, kweli kalale kinyamkera weeh unanikera fisi maji mkubwa.
 
kwa kuwa hujaomba ushauri sikupi ushauri ila nataka tu utambue huo ndo msalaba wako na kwamba si JF tu watu wema bado wapo,umekosa bahati kumpata uliyenaye, perhaps siye uliyemhitaji ila ndiye anayekustahili hivyo vumilia tu hakuna mkamilifu!
 
Sasa mama naweee mbona watupa aibu ilioje badala ya kufanya mambo kiakil wewe wakurupuka kosa ulisha fanya toka uhamie kwake day 1 ungekituliza kwanza ndio mambo ingine ifuate
 
Alisema wanawake haina shida kabisa. Hakuna mwanamke mwenye tatizo. Ukiona mwanamke ana tatizo ujue mwanaune wake ndio tatizo.
Khaaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Ila wadada shaurianeni uvumilivu kidogo basi jamani khaaa, maana ushauri ni kuondoka tu duuh

Mbona mambo ya kawaida tu hayo kwa wanandoa
 
Back
Top Bottom