TAHADHARI!! Kwa Wenye Mpango Na Mnaotaka Kwenda Kufanya Kazi Za Ndani Uarabuni! Haya Yanatokea Sana!

Grand Master Dulla

JF-Expert Member
Jul 20, 2012
411
146
Nilisikitishwa sana jana wakati nasikiliza redio moja ya kenya ambapo jamaa mmoja mkalenjini kwa kabila anayeanzia na jina la Joseph (ubin wake nimeusahau) alipokuwa akielezea kwa uchungu mazira yaliyomkuta alipokwenda kufanya kazi katika nchi moja ya kiarabu,kisa chake kinaanza kwamba mnamo mwishoni mwa mwaka jana alipata kazi ya uhouse boy katika nchi mojawapo za huko uarabuni,anadai kwamba kazi iliendelea vizuri sana mpaka miezi ya mwanzoni mwa mwak huu pale alipogundua kwamba mood ya bosi wake mzee mwenye nyumba imebadilika sana juu yake bila ya yeye kujua sabab hasa ya msingi.Anadai kuwa kuna siku bosi wake alimwita chumbani na kuanza kutaka kulala naye na alipokataa bosi akaanza kumlazimisha wakati huo mke wa bosi alikuwa hayupo katoka toka asubuhi,kumlazimisha kuliendelea na madai hasa si kwamba bosi alikuwa anataka alalwe bali alikuwa anataka kumlalia joseph alipoona anakataa sana bosi akatoa pendekezo kwamba joseph kama anaona hatari sana basi aanze kumlala yeye bosi yaani bosi alaliwe kwanza kisha bosi amlale josephy kitendo ambacho pia josephy alikataa pia. Basi si muda mkewe akarudi na bosi akatulia lakini akaanza kuonyesha mateso kama vile kutompa chakula ila kila siku jamaa alikuwa akimsisitizia kuhusu hilo suala.Alipoona ankonda sana alifanikiwa kutoroka akenda ubalozini kwao nao wakamrudisha kenya sasa anaishi jijini Nairobi na wala hana mpango wa kurudi tena uarabuni.
Je hiki ni kisa ch ajabu kwako? hivyo kaeni chonjo kwa wenye mpango wa kwenda nchi hizo zilizobarikiwa kwa utajiri wa mafuta.
Je kuna mkasa wowote ule wa kusikitisha unaofanana na huu unaoujua? FUNGUKENI WADAU!!!!
 
Wapo wengi sana, hususani Wakenya, wanaoelezea unyama wanaofanyiwa na Waarabu ikiwemo kufungiwa ndani, kutaka kuuwawa kwa kutupwa ghorofani, kunyimwa mshahara n.k pindi wanapokataa kushiriki ngono na 'mabosi' wao.
 
mkuu hii kitu ni kweli kabisa na nimeisikia toka kwa watu mbalimbali hata wabongo. Mfano halisi wa hili kwa hapa tanzania waweza kulipata hotel moja inaitwa south beach resort ipo kigamboni-mjimwema, mwenye hotel anawalazimisha watoto wa kiume kulala nao na kwa wale wanaokataa hufukuzwa kazi au hata kutishiwa kuuawa, nimefanya kazi hiyo sehemu na nimeona kwa macho yangu jinsi watoto wa kiume wanavyonajisiwa na kupewa vyeo, hii kitu si arabuni tu hata hapa kwetu inafanyika.
 
mkuu hii kitu ni kweli kabisa na nimeisikia toka kwa watu mbalimbali hata wabongo. Mfano halisi wa hili kwa hapa tanzania waweza kulipata hotel moja inaitwa south beach resort ipo kigamboni-mjimwema, mwenye hotel anawalazimisha watoto wa kiume kulala nao na kwa wale wanaokataa hufukuzwa kazi au hata kutishiwa kuuawa, nimefanya kazi hiyo sehemu na nimeona kwa macho yangu jinsi watoto wa kiume wanavyonajisiwa na kupewa vyeo, hii kitu si arabuni tu hata hapa kwetu inafanyika.
)

Sishangai..! Kama wanaume mnaomba kuingiza nyuma kwa wake zenu. Ati uzazi wa mpango utakosaje kuomba sehemu ya mavi kwa mwanaume mwenzio.???wote sehemu yenu ni moja inaitwa ziwa la moto. Siku yaja
 
sasa matusi ya nini mkuu au wewe ndiye JOSEPH mwenyewe??



sorry sana wakuu,mi nilikuwa naomba ushauri wenu tu tushauriane sasa nawaona kimya,haya mambo yapo kila mtu yanaweza kumkuta,kuhusu yoseph mi wala simjui nilimsikia kwenye redio tu.ila kuna rafiki yangu mwingine yupo dubai nimemwuliza leo asubuhi kasema kweli haya mambo yapo sana na akanipa na mifano mengine mingi tu.
 
hapa bongo utakuta jamaa handsome kinoma hadi mademu wanampapalikia lakini kumbe anashugulikiwa, ila ni kitu hatari sana, kama mmoja wao anza nmna ya kuacha then fanya toba
 
cheza na mfumo arabu ww
Wakuu

Hiyo kitu sio mfumo arabu tu. Tusizike kichwa mchangani kama mbuni. Link hizo zinajieleza.

BBC News - Australian Roman Catholic Church admits child sex abuse

East European Gays, Lesbians March In Show Of Pride

Gay Rabbis Approved In Israel, Conservative Judaism Makes Decision

israelgay
Usisahau pia habari za mahabusu na wafungwa katika magereza/ lupango zetu na mambo hayo ya mtandao.

Mmong'onyoko wa maadili unapigiwa debe na allAfrica.com: Kenya: What Is This About Tying Aid to Gay Rights? (Page 1 of 2)

Lakini wapo wachache wanaokemea haya. Mugabe calls David Cameron 'satanic' for backing gay rights - Telegraph


Mambo ya mtandao imeshakuwa ni tatizo la dunia. Mbaya zaidi ni kuwa linapigiwa debe na wale tunaowaita "wafadhili". Tutapona?
 
Back
Top Bottom