nilisikitishwa sana jana wakati nasikiliza redio moja ya kenya ambapo jamaa mmoja mkalenjini kwa kabila anayeanzia na jina la joseph (ubin wake nimeusahau) alipokuwa akielezea kwa uchungu mazira yaliyomkuta alipokwenda kufanya kazi katika nchi moja ya kiarabu,kisa chake kinaanza kwamba mnamo mwishoni mwa mwaka jana alipata kazi ya uhouse boy katika nchi mojawapo za huko uarabuni,anadai kwamba kazi iliendelea vizuri sana mpaka miezi ya mwanzoni mwa mwak huu pale alipogundua kwamba mood ya bosi wake mzee mwenye nyumba imebadilika sana juu yake bila ya yeye kujua sabab hasa ya msingi.anadai kuwa kuna siku bosi wake alimwita chumbani na kuanza kutaka kulala naye na alipokataa bosi akaanza kumlazimisha wakati huo mke wa bosi alikuwa hayupo katoka toka asubuhi,kumlazimisha kuliendelea na madai hasa si kwamba bosi alikuwa anataka alalwe bali alikuwa anataka kumlalia joseph alipoona anakataa sana bosi akatoa pendekezo kwamba joseph kama anaona hatari sana basi aanze kumlala yeye bosi yaani bosi alaliwe kwanza kisha bosi amlale josephy kitendo ambacho pia josephy alikataa pia. Basi si muda mkewe akarudi na bosi akatulia lakini akaanza kuonyesha mateso kama vile kutompa chakula ila kila siku jamaa alikuwa akimsisitizia kuhusu hilo suala.alipoona ankonda sana alifanikiwa kutoroka akenda ubalozini kwao nao wakamrudisha kenya sasa anaishi jijini nairobi na wala hana mpango wa kurudi tena uarabuni.
Je hiki ni kisa ch ajabu kwako? Hivyo kaeni chonjo kwa wenye mpango wa kwenda nchi hizo zilizobarikiwa kwa utajiri wa mafuta.
Je kuna mkasa wowote ule wa kusikitisha unaofanana na huu unaoujua? Fungukeni wadau!!!!
huo ni ukosefu wa maadili na kuwa na akili za kuku ambae unamfukuza ndani ya kd 2 anarudia ki2 hichohicho ukiwa kama mtanzania ebu jitazame kwenza
mhhh jmn, mmenitisha nina rafiki yangu nimemuunganiashia kazi ya uhaouse gel huko dubai, but wanaoishi huko ni watanzania ndyo atenda fanya kazi kwao.... je ako kwenye hyo risk pia? jus wonderinghwell::shut-mouth:
Aisay mwafrika anavyo mchukia mwarabu we wacha tu, angekuwa mzungu anawazamishia mge msifia tu.
Afu huyo mkenya hata kama kaliwa tigo na yule mwarabu unadhani atasema, si lazima atakataa.wanawapenda wazungu sababu wazungu huwa wanazamishwa wao lakini huwa hawawapendi kabisa wagiriki.
Afu huyo mkenya hata kama kaliwa tigo na yule mwarabu unadhani atasema, si lazima atakataa.
Ni mfano wa malaya, mtu aende sehemu anajiuza malaya afike anze kusema we malaya njoo hapa, unadhani malaya atakubali kuitwa malaya, hata kama yeye ni malaya.
Mwanaume yule mwanaume kuongelea mambo ya ki so so huwa ni vigumu sana, huyo nashaka kisha liwa tigo sema hakulipwa ndo analamika ki aina aina
Afu mbona siku hizi nchi za kiarabu malaya wengi tu wanatokea kila upande wa africa na east europe , anataka nini ale joto la kiume :biggrin1: