Tahadhari kwa watumiaji wote wa facebook!!!

Wapendwa wana JF wenzangu, ninapenda kuwatahadharisha watumiaji wote wa facebook waliopo katika jamvi hili hata wale ambao hawapo katika jamvi hili kuwa makini pale mtumiapo facebook maana leo yamemkuta dada yetu mmoja ambaye alipostiwa status na mtu asiyemfahamu katika account yake bila ya yeye kufahamu. na mbaya zaidi hali hiyo ilitokea wakati yupo katika jitihada za kuingia katika chumba cha mtihani. Status hiyo ilisema hivi, " Nina hamu ya ******* na mwanaume mwenye **** ***** ******* hadi ***** ****".

Ni vyema ndugu zangu tukawa makini katika kutumia hizi social network hasa facebook ili kuepuka fedheha kama hizi. Na ili kuepuka hii hali ni vyema mkazingatia mambo yafuatayo:-

  1. Kwanza kabisa nisingependa kushauri kutoa password ya account yako kwa mtu yoyote hasa yule unayemuita laazizi wako, wa ubani, your sakafu etc. kwani matatizo kama haya yanaweza kutokea endapo mtaachana.
  2. Pili nashauri msipende kuweka e-mail address na namba zenu za simu katika profile zenu kwa namba contact details hizo zinatumika sana katika kuhack account ya mtu.
  3. Tatu msipende kuaccept request za mtu usiyemfahamu au kufungua link au application usizozifahamu kwani njia hizo huwa zinatumika sana katika kuhack.
  4. Nne usisahau kulog out mara baada ya kutumia facebook hata kama ni kwenye simu au laptop yako kwani mtu mwingine anaweza akafungua facebook na kuikuta account yako na kuifanyia vyvoyote atakavyo.

Asante kwa kujali kwako kipenzi
 
Ahsante kwa elimu Youngmaster, kwa wale mnaojifanya hamtumii facebook hongera! Ila tunarajia kuanzia may 12-15 mtakuwa wadau wazuri tu kule pindi jf itakapokuwa off-air!!
 
Last edited by a moderator:
Sio kwamba anapenda ila alifanyiwa tu na mtu asiyemfahamu.

Not necessarily kwamba mwathirika huyo alimpa mtu password yake, ila sometimes inatokea kama hivi:-
1. Mtu ana log in katika PC ya kwenye internet cafe, ambayo pale kwenye ukurasa mkuu wa FB pamewekwa tiki sehemu inayosomeka "Keep me Logged in", kiasi kwamba mtu yeyote akiingia FB kwa kutumia PC hiyo lazima akute ile akaunti iko logged in.
2. Muda unamwishia mhusika katika cafe akiwa haja log out, hivyo mtu aneyekuja kutumia PC hiyo anakuta zile windows zikiwa active na hiyo FB page yake ikiwa logged in. Mtu wa namna hii kama si mstaarabu anaweza kuitumia vibaya hiyo FB page ya mhusika. Hii nimekutana nayo mara nyingi sana katika internet cafe ninazotembelea, kiasi kwamba nalazimika ku log out baadhi ya user accounts.

You are right mkuu bt sijasema kuwa huyu dada alimpa mtu password yake ndio maana haya yakamkuta. Ni ushauri tu nimetoa kwa sababu hata kumpa mtu password yako inaweza kukusababishia mambo kama haya.
 
Sio kwamba anapenda ila alifanyiwa tu na mtu asiyemfahamu.
kayataka. We unaingia kwenye mtihani simu ya nini. Ukipata habari mbaya inakuharibia utaratibu mzima wa mtihani. Angalau funga simu saa moja kabla. Atakayekutafuta atakupata ukitoka.
 
kayataka. We unaingia kwenye mtihani simu ya nini. Ukipata habari mbaya inakuharibia utaratibu mzima wa mtihani. Angalau funga simu saa moja kabla. Atakayekutafuta atakupata ukitoka.

Simu alizima wala hakuwa online ila tatizo baadhi ya marafiki zake wa facebook wanasoma nae so lazima watakuwa wamempa taarifa tu.
 
thanks for the advice although most of it was already known unless they are beginners. I noticed the first 22 posts were made 'usiku wa manane' don't some JF members sleep? :sleepy: I feel sorry for the chick, unaweza kusahau madesa yote uliyosoma for the exam..
 
Sasa kama tukilala nani ataliendesha hili jamvi la JF?
 
Back
Top Bottom