Tahadhari kwa watumiaji wote wa facebook!!!

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
Wapendwa wana JF wenzangu, ninapenda kuwatahadharisha watumiaji wote wa facebook waliopo katika jamvi hili hata wale ambao hawapo katika jamvi hili kuwa makini pale mtumiapo facebook maana leo yamemkuta dada yetu mmoja ambaye alipostiwa status na mtu asiyemfahamu katika account yake bila ya yeye kufahamu. na mbaya zaidi hali hiyo ilitokea wakati yupo katika jitihada za kuingia katika chumba cha mtihani. Status hiyo ilisema hivi, " Nina hamu ya ******* na mwanaume mwenye **** ***** ******* hadi ***** ****".

Ni vyema ndugu zangu tukawa makini katika kutumia hizi social network hasa facebook ili kuepuka fedheha kama hizi. Na ili kuepuka hii hali ni vyema mkazingatia mambo yafuatayo:-

  1. Kwanza kabisa nisingependa kushauri kutoa password ya account yako kwa mtu yoyote hasa yule unayemuita laazizi wako, wa ubani, your sakafu etc. kwani matatizo kama haya yanaweza kutokea endapo mtaachana.
  2. Pili nashauri msipende kuweka e-mail address na namba zenu za simu katika profile zenu kwa namba contact details hizo zinatumika sana katika kuhack account ya mtu.
  3. Tatu msipende kuaccept request za mtu usiyemfahamu au kufungua link au application usizozifahamu kwani njia hizo huwa zinatumika sana katika kuhack.
  4. Nne usisahau kulog out mara baada ya kutumia facebook hata kama ni kwenye simu au laptop yako kwani mtu mwingine anaweza akafungua facebook na kuikuta account yako na kuifanyia vyvoyote atakavyo.
 
Huyo dada alilia ehh.Mpe pole mwambie siku nyingine kama anapenda vitu asimwambie mtu.
 
Shukrani kwa funzo lako zuri ila sasa wengi washakuwa addicted na facebook.

Nalitambua hilo na ndio maana sijawaambie waache kutumia facebook ila nimewashauri watumie njia nilizozitaja hapo juu ili waweze kuepukana na hali hiyo.
 
Siku hizi hata kwenye emails ni matatizo tu japo ni kwa nadra sana, ila haka kamchezo kachafu sana kwakweli!! Mtu unaweza kujikuta unajibu mashitaka usiyojua hata yametokea wapi!
 
Siku hizi hata kwenye emails ni matatizo tu japo ni kwa nadra sana, ila haka kamchezo kachafu sana kwakweli!! Mtu unaweza kujikuta unajibu mashitaka usiyojua hata yametokea wapi!

Yaani we acha tu my dear Kipipi Nilumuonea huruma sana huyo dada maana hata katika picha zake anaonekana ni muislamu safi aliyefunzwa na anayefuata maadili yote ya kiislamu. Sio rahisi kuamini kama anaweza kufanya kitu kama hicho.
 
Last edited by a moderator:

Pole yake kwakweli, na kuna mdada mwingine nae alikuwa analalamika account yake kuwa inafunguliwa na mtu mwingine mpaka akaamua kubadili password!! Duh....
 
Last edited by a moderator:
Pole yake kwakweli, na kuna mdada mwingine nae alikuwa analalamika account yake kuwa inafunguliwa na mtu mwingine mpaka akaamua kubadili password!! Duh....

Tuachane na hayo ya facebook. twende zetu tukalale my Kipipi mda umeenda sana.
 
Last edited by a moderator:
thanx young master bt kwa mtu aloingia fb thru phone nambake huji update autmatical then email adres is inevitable lazima 2 utaikuta kwenye personal info..
Ama baada, ujambo weye?
 
thanx young master bt kwa mtu aloingia fb thru phone nambake huji update autmatical then email adres is inevitable lazima 2 utaikuta kwenye personal info..
Ama baada, ujambo weye?

Mie sijambo my dear Kilahunja sijui wewe. Ila hata kama huji update automatically unaweza ukaiweka isionekane na watu, wewe mwenyewe tu ndo uweze kuona contact zako.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom