macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 22,488
- 41,291
Jamaa ana mashine latest ! State of the art ! Kama unataka Study Tour naweza kukufanyia taratibu uvitembelee !
Sasa huu ni ukorofi sasa,waislam tunaingiaje??
unataka tunywe bia za mengi??sisi kwetu hiyo ni haram ndugu..
Na kwa taarifa yako,hata usipokunywa wewe,sisi tutakunywa..
AZAM anauza AFRIKA YOTE HII NA NJE YA BARA HILI SEMBUSE WEWE WA BUGURUNI KWA MNYAMANI??
Una nini la kutambia?
Mkuu mimi ni moja ya watu tulioshangilia ujio wa hizi juice ili tuache kutumia za nje lakini kweli umakini wao umepungua nadhani hii ni changamoto tu kuboresha hii kitu yetu wenyewe!!
Hii ni kweli kabisa!! imenitisha sana nimezipiga marufuku ndani!
Kibaya zaidi my CEO last week nae ilitokea kwake nae akazipiga marufuku!
Watoto wanazipenda sana lakini nadhani umakini wa Azam umepungua.
Huyu mleta hoja nahisi kafukuzwa kazi kwa bakhresa siyo bure zote Mara 2juice ziwe chafu?mbona Mimi nanunua kila Leo sijaona jamani ,Huyu I think there must be something personal btn him and this co,it doesn't click in my mind to have such a scenario more than one time!MKUU WALA USIHANGAIKE, HUYU JAMAA ALIYEANDIKA HIVI WALA SIO MKRISTO,
Ni muislam mwenzako tena mdini wa hali ya juu ukitaka kuamini angalia post zake zilizopita,
na shindwa kuelewa ameandika hicho alichoandika kwa faida ya nani.
Habari Watanzania na Wasio Watanzania, Jana nilinunua juice ya Azam ya "tropical mix" ya TZS. 2500, Nilipofika home nikamimina kwenye glass ili ninywe, nikapiga funda la kwanza nikastuka kidogo, nikapiga la pili nikakutana na radha ambayo ni ya ajabu ajabu sana yani kama uozo ulochanganyika na mafuta ya taa, nikataka nimrudishie mwenye duka ila nikaona niachane naye, nikaenda kuitupa niki-assume labda mwenye duka aliiangushia mafuta ya taa. Leo tena nikaamua kununua juice ya AZAM sehemu ya mbali kabisa na niliponunulia jana, this time nikanunua juice aina ya "APPLE", basi mida ya usiku hivi baada ya msoc nikaamua nichukue glass moja niipige, nimefika nusu kabla haijaisha nikaiwa nimeiweka ile glass kwenye meza ambapo inapigwa na mwanga direct ndani, OMG... nimeona mauchafu uchafu kibao aisee kwenye glass, nikaanza kujiuliza au glass ni chafu??? Ikabidi nichukue glass kubwa halafu nimimine ile ile iliyopo kwenye box niione nayo, daaaaaaahhhh, aisee ni mauchafu kibao yan. Hapa nilipo hadi nahisi nishaanza kuumwa, nimeamua kuiweka hapa ili iwe ushahidi nikiumwa walau nikashtaki. (Mungu Aniponye kwa kweli). Nawashauri wapenzi wa hizi juice kabla hujaibugia uwe unapenda kuangalia ikoje kwanza maana waweza dhurika kwa kweli. N.B Sijaweka bandiko hili ili kuvuruga biashara ya AZAM, nop, ninawatahadharisha wenzangu na nilichokiandika ni ukweli mtupu.
ACHA KUTUKANA WATU DOGO. UKWELI LAZIMA UWEKWE WAZI-JUICE za AZAM NI SUMU. KWA NCHI ZA WENZETU HASA US, HUYU JAMAA ANGEWEZA KUWASHITAKI NA KUDAI MABILIONI YA PESA.Nyie ndo mafala. Watu haalali wakiimalisha biashara zao wewe uko mtandaoni kumdiscourage. Huna tofauti na aloandaa mkanda wa rwakatale
uko sahihi kabisa nadhani ni baadhi tu ya bidhaa hizo zina kasoro tufike mahali kupenda bidhaa za kwetu na hasa za mzawa kama azam ambaye amesaidia sana kuongeza ajira na pesa yake inatumika hapa hapa nchinitunaonaNyie ndo mafala. Watu haalali wakiimalisha biashara zao wewe uko mtandaoni kumdiscourage. Huna tofauti na aloandaa mkanda wa rwakatale