Tahadhari kwa wanaume wa Dar mnaokuja Dodoma

Million dollars

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,509
2,054
TAHADHARI KWA WANAUME WA DAR MNAO HAMIA DODOMA! Tabia zenu za kibwege bwege sijui kula bata,
Misemo yenu ya kike kike cjui vepee cjui ni shidaaaaa,
Mambo yenu ya ushirikina na utapeli na wizi wa vifaa vyetu vya magari,
Sijui tabia zenu za kufanya birthday cjui vigodoro na singeli,
Kuulizana maswali ya kijinga kijinga cjui uko insta?fb!?asap!?snapchart?
Sijui vitaulo na tabia za kunukia nukia kama watoto wa kike,
Tabia za kuja na kutupandishia kodi za nyumba mkisha fika hapa,
Fitna, sifa za kijinga, kukata kata viuno hadharani, na ushoga kula madawa ya kulevya cjui mnaita ngada cjui punda nini, kutoa msaada kidogo au kazi ndogo mnadai pesa,
Kuendesha magari spidi mitaani huku mmewasha taa kubwa mchana kama mnawinda cjui jumapili baada ya kwenda kuabudu tunawaona barabarani, mnakimbia cjui ni jogging cjui nn, kupiga piga makelele hasa nyakati za usiku, kuja na vyakula vyenu vya ajabu cjui pweza,
Mambo mambo yenu ya maandamano cjui takataka gani cjui,
Kuchukua wake za watu na kutuaribia ndg zetu wa vyuoni na kuwapiga dada zetu picha za uchi na kupiga piga cjui mnaita selfie vyooni, makaburini, misibani, maiti, majeruhi ajalini,
Ubishi ubishi usio na tija kugomea maagizo halali ya vungozi wa serikali,

TAFADHALI MSITULETEE MIKOSI YENU HUKU HAYO MAMBO YENU YAISHIE HAPO KWA MATIASI AU KILUVYA SISI HUKU HATUTAKI VURUGU VINGINEVYO MTARUDI MMOJA MMOJA
 
Hahaha mkuu na nyinyi wa dodoma muache kuombaomba na kuishi nyumba za mavi ya punda tumewatimua dar ili mulime huko idodomya
 
inaonekana kuna kizazi kipya cha wanaume wa dodoma kitatambulishwa hivi karibuni baada ya kuchanganyana na wa dar
 
TAHADHARI KWA WANAUME WA DAR MNAO HAMIA DODOMA! Tabia zenu za kibwege bwege sijui kula bata,
Misemo yenu ya kike kike cjui vepee cjui ni shidaaaaa,
Mambo yenu ya ushirikina na utapeli na wizi wa vifaa vyetu vya magari,
Sijui tabia zenu za kufanya birthday cjui vigodoro na singeli,
Kuulizana maswali ya kijinga kijinga cjui uko insta?fb!?asap!?snapchart?
Sijui vitaulo na tabia za kunukia nukia kama watoto wa kike,
Tabia za kuja na kutupandishia kodi za nyumba mkisha fika hapa,
Fitna, sifa za kijinga, kukata kata viuno hadharani, na ushoga kula madawa ya kulevya cjui mnaita ngada cjui punda nini, kutoa msaada kidogo au kazi ndogo mnadai pesa,
Kuendesha magari spidi mitaani huku mmewasha taa kubwa mchana kama mnawinda cjui jumapili baada ya kwenda kuabudu tunawaona barabarani, mnakimbia cjui ni jogging cjui nn, kupiga piga makelele hasa nyakati za usiku, kuja na vyakula vyenu vya ajabu cjui pweza,
Mambo mambo yenu ya maandamano cjui takataka gani cjui,
Kuchukua wake za watu na kutuaribia ndg zetu wa vyuoni na kuwapiga dada zetu picha za uchi na kupiga piga cjui mnaita selfie vyooni, makaburini, misibani, maiti, majeruhi ajalini,
Ubishi ubishi usio na tija kugomea maagizo halali ya vungozi wa serikali,

TAFADHALI MSITULETEE MIKOSI YENU HUKU HAYO MAMBO YENU YAISHIE HAPO KWA MATIASI AU KILUVYA SISI HUKU HATUTAKI VURUGU VINGINEVYO MTARUDI MMOJA MMOJA
dodoma kulivyo kubaya mtatuchakazia wanaume zetu aghrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Back
Top Bottom